Recent content by CHURADUME

  1. CHURADUME

    MSAADA SAMSUNG A21 SIMPLE CHARGING WAY

    Nmeletewa samsung a21 simple haichaji mime chunguza nikagundua charging ic ndio shida kuipata ikawa ngumu ikabidi niunge battry direct lakini changamoto ni kuwa batty inachajiwa ila simu haionyeshi chaji mpaka udisconnect battery na urudishe ndio unaona limefikia wapi ila ukiiacha inatumika...
  2. CHURADUME

    Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Magufuli alituachia laana hatuto toboa mpaka mapinduzi raia mtapiga kelele viongozi wana panga yao kwa maslahi yao raia tunatumika kutimiza ndoto zao tunahitaji kiongozi mwenye uwezo wa kusema akasikilizwa kama kim wa korea lasivyo kelele za palestina hazimtetereshi muizraeli bali ni mavumbi matupu
  3. CHURADUME

    Picha za dada na mchepuko wake zimenivuruga

    Shukran sana kwa mchango wako
  4. CHURADUME

    Picha za dada na mchepuko wake zimenivuruga

    Hujaelewa mimi najua kuna hizi simu za sasa ukifuta kitu kina hifadhiwa kwenye recycle bin kwa siku 30 ndio kina disappear ndio maana nikaenda kuzifuta kule ndio nika kutana na zakwake alizo zifutaga
  5. CHURADUME

    Kesi za ulawiti hasa kwa watoto wadogo zimekithiri sana. Hatua gani kali zifanyike? Kwanini sheria imepooza katika hili?

    Kuna uhuru ambao mwanaume ameupoteza ndio maana hayoyote yana tokea hakuna kinacho weza kusaidia hata sheria iwe ya namna gani
  6. CHURADUME

    Kesi za ulawiti hasa kwa watoto wadogo zimekithiri sana. Hatua gani kali zifanyike? Kwanini sheria imepooza katika hili?

    Nikuondoa hakisawa ili wanaume wapate nguvu ya kuiongoza dunia maana adhabu hazi watishi wanaume walisha zizoea
  7. CHURADUME

    Picha za dada na mchepuko wake zimenivuruga

    Duh mkuu kesho ntaamka nae
  8. CHURADUME

    Picha za dada na mchepuko wake zimenivuruga

    Hmna heshima yangu kwake na shemeji yangu
  9. CHURADUME

    Picha za dada na mchepuko wake zimenivuruga

    Ntaangalia namna mkuu
  10. CHURADUME

    Picha za dada na mchepuko wake zimenivuruga

    Mi simuonei wivu ame zingua kwa jinsi nilivyo kuwa na ishi nae sikutarajia kuona akifanya hivyo
  11. CHURADUME

    Picha za dada na mchepuko wake zimenivuruga

    Nawaza namna ya kumuanza
Back
Top Bottom