Recent content by chupa ya maji

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kuna usalama hapa ndugu zangu?

    Huyo analiwa sema analiwa kimasihara
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nimemtimua Nabii aliyekuja kumtembelea Mke wangu

    Dah mkuu umetisha, hawakanyagi tena hao
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

    Dah m nilimkuta na mtu mwingine ila kwa kweli mapenzi ya zamani yalikuwa matam sana tofauti na siku hizi. Nakumbuka mtoto alikuwa anaitwa JANE nilimwelewa na alinielewa sana yaan mtoto ukikaa nae hivi unajikuta unapata amani ya moyo. Lakini ndio siko moja napita zangu kwenda shambani kati ya...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mhhhh m napita tu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

    Binadamu wote tunakosea ila mbora ws wakoseaji ni yule anapobaini kosa au mienendo isiyoridhisha anarud Kwa Mungu kwa Toba. Pia mambo yote tuyatendayo mengine ni kutokan na kuindekeza nafsi na wala haiana maan kuwa hayawezekani kuachika. Iambie nafsi yako iachane nayo hayo mambo na mwenyeewe...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya Wanawake ni superglue

    Tusisahau kumpigia kura za Ndio mhe Rais
  7. C

    JamiiForums Tanzania Upinzani acha kutuwekea usiku

    Kwa kweli neno kuntu Hilo, kwangu mm Demokrasia Ni kutupotezea wakati tu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tutafakari: Uzuiaji wa mikutano ya kisiasa na sheria ya habari je zimetusaidia chochote ?

    Kwani Haki za binadamu/mikutano ya kisiasa viinaliwa? watu wanatka unafuu wa maisha
  9. C

    JamiiForums Tanzania Albert Msando awalima Wamarekani barua, awaambia waache 'double standards' kwa hoja nzito

    msingi barua inamashiko au haina? yaliyoelezwa yanamsingi kuwa hao wababa ni wavunja demokrasia wakubwa, Watanzania tusidanganywe
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

    Kikubwa ni kutakiana kheri katika maisha sio kuonbeana mabaya kwn ukimuombea mabaya asiyesthili yanweza kurud kwako
  11. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Kwan Rais anakuwa wapi
Back
Top Bottom