Mimi Sijalogwa Najua Watz Zetu Wepesi Wa Kusahau . Yaliyopita Yananipa Uhakika Wa Kuamini Hata Hili Litapita. Je Kampuni Za Madini Tz Ni Acacia Pekee? Je Vipi Migodi Mingine Ichimbayo Tanzanite Almasi, Gesi, Makaa Ya Mawe, Chuma Na Menglne Hayatuibii? Kama Yameiba Je Nani Anawajibika? Bado Tangu...
Jamani Tumwogope Mungu Uhai Wa Mtu Ni Zaidi Ya Cheo Cha Mtu Na Serikali Yote. Lazima Mwanadamu Ujue Kuwa Wanadamu Wote Ni Sawa Vyote Tutaviacha Na Lililomkuta Mwenzio Hata Wewe Linaweza Litakukuta. Huu Ni Wakati Wa Kuomboleza Tanzania Sio Salama Tena Wala Tusidanganyike Tuna Amani.
Tanzania Hatujajua Haki Zetu,wala Hatujui Kwa Nini Tunawachagua Viongozi Wanaotuibia Na Wanaoshirikiana Na Wezi Kila Wakati.Uongozi Sio Kipawa Bali Ni Tabia.Katika Marais Wote Waliopita Hatujawahi Kumpata Rais Mwenye Tabia Za Uongozi Wote Ni Wasanii Wanaotuhadaa Kwa Ujanja Wao Na Wakati Wote...
Kwa Sera Ya Ujamaa Sasa Hivi Ni Kuwadanganya Watanzania Na Mara Nyingi Ujamaa Hutengeneza Taifa La Watu Wavivu Wategemea Serikali.Na Hakuna Mtu Anayeweza Kuendelea Kwa Kupewa Vitu Vya Bure Kazi Ya Serikali Ni Kuboresha Huduma Muhimu Hasa Miundo Mbinu Bora Na Mfumo Wa Elimu Ulio Bora Na Huduma...
Naomba unisaidie katiba mpya itamsaidiaje mtanzania kuondokana na umasikini, ukosefu wa huduma bora za afya, elimu,maji,umeme barabara Na jinsi gani itaondoa na kukomesha rushwa na ufisadi.je viongozi wazembe watapewa adhabu gani tofaut na sasa.
wanaposema katiba ni bora basi wafafanue itawasaidiaje wananchi kuondokana na umasikini kiuharisia na je ni je kwa jinsi gani katiba inatoa suluhisho kwa kero za wananchi hasa ukosefu wa miundombinu na huduma muhimu kwa wananchi wa tz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.