Recent content by chumauleete

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ushamba wa JK na mawaziri wake Muscat

    Ulaya kuna fisi?
  2. C

    JamiiForums Tanzania msaada

    Nipo arusha'
  3. C

    JamiiForums Tanzania msaada

    Kwa yeyote anaejua mwenendo wa soko la korosho mtwara' niliuza korosho tangu 15 sept mpaka leo sijalipwa na niko mbali.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu nissan mach(gari)

    Hizi gari ndogo ambazo watu wanakimbilia kununua kwa ajili ya kupunguza gharama ya mafuta, spea zake ni ghali, hata hivo kama unategemea kuitumia labda kwa mwaka 1 au mwaka 1 na nusu halafu ukaiuza kabla haijaanza kusumbua ni vizuri, sio gari ya kutumia Muda mrefu: vits ni imara zaidi ya march...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa JK wagongana

    Ukiona anatetea ujinga, kama yy si mjinga basi ujue ni njaa inamsumbua;
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kutoweka uzalendo kwa nchi: CCM haiwezi kuepuka lawama

    Mungu wangu! Wamekubaliwa kuchimba URANIUM ktk nchi ya Wajinga kama hii! Tujiandae na madhara Makubwa, nchi za wenyeakili na pesa madhara yake wanashindwa kuyadhibiti, itakuwaje kwetu? Wamehongwa sh ngapi?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa JK wagongana

    Hivi waziri kama huyu tunamuondoaje madarakani? Ki ukweli hatufai sasa tunaanzia wapi? Au yanaishia hapa kijiweni tu? Hawa jamaa watatuua!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa JK wagongana

    Acha utoto' sababu alizosema ni "wachafu mazingira kwa kutiririsha maji machafu baharini" ungesema sio kweli ungeeleweka" acha u CCM wako!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa JK wagongana

    Hatua sahihi ni zipi, kama walishapewa maagizo hawajatimiza? Unajua mazingira yanayoharibika ni yetu sote? Unafikiri hela wanazokusanya ni zetu sote? Acha u CCM wako"
  10. C

    JamiiForums Tanzania Msaada nissan mach

    Nenda google angali mamlaka ya mapatO tanzania, halafu utajumlisha na nauli ya meli
  11. C

    JamiiForums Tanzania Analog to Digital Converter "ADC"

    Tiririka mkuu, hicho kifaa ni nini? Kina umuhimu gani? Au ni badala ya king'amuzi? Mbona tunaambiwa tununue king'amuzi tu?
  12. C

    JamiiForums Tanzania MKAPA ndio kaimalizia Tanzania

    Ki ukweli tunahitaji sana mapinduzi na sio mageuzi, tumpate kiongozi kama mwalimu au mugabe nk. Tuwafukuze makaburu, tuwakamate wahujumu uchumi, tuwanyang'anye kila walichoiba tujipange tuanze upya;
  13. C

    JamiiForums Tanzania MKAPA ndio kaimalizia Tanzania

    Hujasoma wewe! Ukisoma sana kizaramo unakisahau!
  14. C

    JamiiForums Tanzania MKAPA ndio kaimalizia Tanzania

    Anaakili saaaaanaa, kizaramo keshakisahau!
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi kwa simu

    Kuolewa sio inshu, yeye anataka amsaidie tu mumewe akirudi basi:
Back
Top Bottom