Recent content by chuma jr

  1. chuma jr

    JamiiForums Tanzania Mtu wa sales anahitajika kampuni ya keeway motorcycle

    Habari za muda huu wana jukwaa kiufupi husika na kichwa cha habari hapo juu kampuni ya keeway motorcycle inahitaji mtu wa kusimamia masoko nchini tanzania (regional sales manager) kama unahisi unafaa bas tuma cv yako kupitia email hii chumazerubabel13@gmail.com. Mtu anayetakiwa awe na vigezo...
  2. chuma jr

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Star x flat tv inch 32 nasukuma kwa bei ya jioni

    TABATA
  3. chuma jr

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Star x flat tv inch 32 nasukuma kwa bei ya jioni

    Nichek kwa namba hiyo uje uchukue boss
  4. chuma jr

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Star x flat tv inch 32 nasukuma kwa bei ya jioni

    Star x imenyooka haina kipengele ipo kwenye box lake imetumika mwez mmoja tu bei laki mbili tu 200,000/= pungufu tuzungumze private nichek kwa 0627218573 piga sms whatsap namba hiyo mali ipo tabata kisukuru.
  5. chuma jr

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimewekewa milioni 500 na wazazi wangu

    Hebu amsheni huyu asije kukojoa kwa kitanda kumekucha mwambieni😂😂😂😂😂😂
  6. chuma jr

    JamiiForums Tanzania Ofisi inapangishwa

    Habari zenu wanajamvi nimekuja jukwaani kutangaza nafasi kama wewe ni muwekezaji au mfanyabiashara ofisi ipo na kila kitu ni ofisi ya uwakala wewe njoo na mtaji wako na kodi ya miez 6 ikipungua hata miezi 4 sio mbaya kila mwezi ni 70k ukifika nakupatia Laini zote za simu kasoro simu labda...
  7. chuma jr

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana wa kusimamia biashara ya Tigopesa

    Habar zenu waungwana nimekuja kutangaza fursa ya kazi kijana mwenye uzoefu wa biashara ya tigopesa wa kike au wa kiume awe anaishi Tabata anicheki, ofisi ipo Segerea. Kama una ndugu yako kikubwa awe muaminifu mwambie anichek malipo ni 50/50 commision kikubwa ajitume. Call 0627218573
  8. chuma jr

    JamiiForums Tanzania Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala

    Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala ya Tigopesa. Vigezo awe na uzoef kwenye kazi hiyo au uzoef katik tasnia ya uwakala. awe mtu wa kujituma na mwenye lugha nzuri kwa watu wote. asiwe mtu wa hasira au dharau. awe na uwezo wa kujisimamia mwenyewe na kupangilia mambo katka ofisi...
  9. chuma jr

    JamiiForums Tanzania Unanishauri nini mimi dereva ninaeanza kuendesha Uber na Bolt?

    Kuna mzigo mtaani unaitwa Zuzu hiyo ni app ya kuchezesha hizo app zao zikuletee wateja unaweza ukawa k/koo msimbaz lakini uka cover mpak posta mpaka buguruni kigogo yani ukachukua large area mtu akirequest anakupata wewe kwanza hata akiwa mbali vp ila awe kwenye hizo location ambazo umezichagua...
  10. chuma jr

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    Kaka kama ni mkristo nadhani utakuwa ushaisikia sana hii kauli ya petro "Tukisema hatuna dhambi twajidanganya na wala kweli haipo ndani yetu hivyo yatupasa kutubu kila wakati" sina hakika kama nimequote vyema ila huo mstari upo hivyo hakuna mtu asiye na dhambi hata mchungaji mwenyew hali ya kuwa...
  11. chuma jr

    JamiiForums Tanzania Tupeane muongozo jinsi ya kufungua biashara ya bucha ya nyama ya ng'ombe

    Mwamba huyu hapa umefafanua kwa weledi sana bro shikrani sana.
  12. chuma jr

    JamiiForums Tanzania Tupeane muongozo jinsi ya kufungua biashara ya bucha ya nyama ya ng'ombe

    Umesahau mtaji kiongoz na changamoto
  13. chuma jr

    JamiiForums Tanzania Tupeane muongozo wa biashara ya Photo & Video Production

    Mkifanikiwa kufungua ofisi zenu videographer wa kukodishwa nipo hapa nafanya editing na kushika camera pia bila kusahau music video pia mimi ni director uzoef wa miaka minne kwenye tasnia pia nawakaribisha wale ambao wanapataga connection za kaz unaweza ukaichukua kaz kisha ukanichek ukanikod...
  14. chuma jr

    JamiiForums Tanzania Tupeane muongozo jinsi ya kufungua biashara ya bucha ya nyama ya ng'ombe

    Habari za majukumu wakuu Natanguliza shukrani kwenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hii biashara nimekuwa nikiifikiria kwa baadae ila naitafutia mtaji kwa sasa hivyo kama unajua taratibu za kufata tunakuomba uje utupe white hapa ili kama kuna mwengine anawaza hii biashara bas ajue pa...
  15. chuma jr

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wa kujitolea kwenye NGO

    Kivipi mkuu sijakusoma hapa
Back
Top Bottom