Mara ya kwanza hata Mimi nilikuwa nashangaa sana lakini baade nikaja kugundua ni tamaduni na mazoea ya kijinsia pia kumfanya Mtoto wa kike kujua urembo ni sehemu ya maisha yake mfano kuna Mkoa flani nimewai kukaa yaani kila mwanamke ametoboa pua
Miaka ya nyuma nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni Moja iliyokuwa inashughulika na mambo ya kuaandaa harusi, nilifanya utafiti wangu nikagundua katika asilimia 100 ya harusi zinazofanyika Dar basi aslimia 70 ya wanawake wanaoolewa ni kutoka uchagani wakafatiwa na Waha asilimia 10 hizo...
Unajua kuna vitu ni vya aibu sasa unaanzaje kujadili udhaifu wa Mke wako kwa baba yake( mkweo) naisi tatizo lilianzia hapo mkeo hawezi kukanywa na baba yake maana huko hayupo tena bali wewe ndio unaishi naye na unapaswa kuishi naye kwa akili kama biblia ilivyosema
Sometimes usiwachukulie...
Hiyo ndoto ya kwanza tafsiri yake ni kuna hatua Moja kubwa sana utaipiga hivi karibuni either kwenye ajira yako au kifamilia.
Hiyo ndoto ya pili tafsiri yake ni kuna deni kubwa katika maisha yako bado hujalimaliza, hivyo kaa chini ujiulize ni jambo gani ambalo inatakiwa ulitimize
Hapo kwenye kutaka umoja ndio kwenyewe kabisa kuna dingi yangu mmoja maisha yake yote alijitenga na watu sasa amezeeka ndio anataka umoja eti watu tupendane...
Tulianza na aloe vera,mafuta ya ubuyu, mayai ya kwale, almond,mbegu za maboga,mkojo wa sungura,kilimo cha nyoka, Tikiti elfu 1 kwa eka, ufugaji wa mende na sasa tumefika kwenye Kilimo cha Dragon
Job kweli kweli.
Huyo Mke bado hajatoka kwenye himaya ya familia yao, na inawezekana wewe kwa aina ya matusi na kejeri unazompa ndio zinazomfanya aone bado hajaingia kwenye himaya ya familia yenu, hivyo anatafuta relief kutoka familia yao. mfanye aone nyinyi ni familia moja na mambo yenu yaishie kwenye kuta za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.