Kama upo Dar chukua hiyo laki moja nenda pale karume lenga mashati kwa bei ya 2000 kisha mida ya saa nne sogea mpaka kkoo tafuta sehemu iliyochangamka ongea na wenyeji watakukodisha eneo la kumwaga. Piga debe kwa bei ya 5000 utakua umeingiza sh 3000 kwa kila shati moja. Baada ya wiki tuletee...
Ni taifa la kiislamu ndiyo ila aliyetenda huu unyama ni binadamu. Kuna tofauti kubwa kati ya uislamu na binadamu. Uislamu huongozwa na Quran na Sunna ila binadamu hufanya jambo kwa kutumia utashi wake. Walichokifanya Saudia hata katika kitabu cha Quran ni dhambi kuvwa sana mbele ya Mwenyezi Mungu
Zungumza nao vzr. Usitumie lugha kama boss bali zungumza nao vzr kwa lugha ya kirafiki. Pia kama unapata nafasi si vibaya kumaliza siku ukiwa hapo ili kujionea mwenyewe biashara inaendaje. All the best mkuu
Mkuu hapo kwanza ungetuambia kama umeajiri watu au unanyoa mwenyewe. Kwa ufahamu wangu mdogo ni kwamba vinyozi wengi wanapohama saloon huhama na wateja wao. Kama unanyoa mwenyewe tengeneza kwanza mtandao wako wa wateja ila kama umeajiri jaribu kuzungumza na vinyozi wako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.