Recent content by Chujio

  1. Chujio

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amesema kwasasa hayuko tayari kuzaa, kuna mambo yake anamalizia kwanza

    Kuzaa sio kazi, kazi kulea. Kumbuka miaka ya mwanzo mama, ambaye ametulizana kichwa na roho anaweka msingi mzuri wa makuzi ya muhimu zaidi. Kwahiyo kama amesema bado vumilia tu mwaego
  2. Chujio

    JamiiForums Tanzania Wale wadudu wanaowaka taa

    Ha ha haa! Huko mahabusu patakuwa panawaka sana. Najitolea kuwa wakili wao
  3. Chujio

    JamiiForums Tanzania Wale wadudu wanaowaka taa

    Hawa wamejaa kwenye matumbo ya wenyewe 😂
  4. Chujio

    JamiiForums Tanzania Wale wadudu wanaowaka taa

    Bioluminescence, nafahamu kuna jamii za samaki waishio vina virefu baharini wanazo
  5. Chujio

    JamiiForums Tanzania Wale wadudu wanaowaka taa

    Ni kweli, maana hata mijini walikuwa wanaonekana muda na muda
  6. Chujio

    JamiiForums Tanzania Wale wadudu wanaowaka taa

    Kabatini
  7. Chujio

    JamiiForums Tanzania Wale wadudu wanaowaka taa

    Wewe umewaona wapi mwenzetu siku hizi?
  8. Chujio

    JamiiForums Tanzania Wale wadudu wanaowaka taa

    Hivi wale wadudu wanaowaka taa; vimulimuli. Wamepotelea wapi siku hizi?
  9. Chujio

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

    Ipo poa sana..tujuzane tuwapige akina junia picha kali na post za kurusha roho instgram
  10. Chujio

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

    Swali zuri sana, akijibu niite atuwekee na bei kabisa
  11. Chujio

    JamiiForums Tanzania Kitambi kinakuja kwa kasi, nini tatizo

    Yaani, vere seksi. Sio unakutana na mtu mkavu ukiegesha kichwa kama umelalia tofali unasikia matumbo tu yanajinyonga
  12. Chujio

    JamiiForums Tanzania Kitambi kinakuja kwa kasi, nini tatizo

    Karibu kwenye mwili wa ki mubaba
  13. Chujio

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke yukoje

    Huyu mwanamke loyal, tulikubaliana mwanamke unabalansi mafiga matatu usibabaishwe na mmoja. 1. Pesa 2. Mkazo 3. Wa kutamba nae 😂
  14. Chujio

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke yukoje

    Looh, umekuja kunianika humu?
Back
Top Bottom