Recent content by Chuhigwa

  1. C

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    Muwe mnafata maelekezo.
  2. C

    Mustapher Rajabar Sabodo ni nani katika TAZARA hii hasa kwa wanasiasa

    Vipi hao wajamaa bado wanaenda mpaka sasa? nataka nikategeshe camera mitaa hiyo
  3. C

    Mtandao wa airtel mbovu au ni simu yangu!

    Zion naona uko sahihii!
  4. C

    Mtandao wa airtel mbovu au ni simu yangu!

    Hapana nyakageni labda pia location uliopo ni nzuri
  5. C

    Mtandao wa airtel mbovu au ni simu yangu!

    Asanteni sana wakuu nadhani ni muda wa kuhama sasa!
  6. C

    Mtandao wa airtel mbovu au ni simu yangu!

    Ahsante sana mkuu Deus
  7. C

    Mtandao wa airtel mbovu au ni simu yangu!

    Wakuu habari za leo! Natumia line ya Airtel Tanzania, leo ni takriban siku ya nne network inasumbua dak2 nimeikosa dak4 napata net!! Hivi ni simu yangu tuu? Au hawajamaa wanatatizo kwenye mitambo yao! Naomba msaada kama kuna mwenye tatizo kama langu ili niwakimbie airtel!
  8. C

    Sarafu mpya yatolewa leo na BOT

    Hivi ktk dola ya kimarekani kuna sarafu? Na dola kubwa kabisa ni dola ngapi wakuu!
  9. C

    Ni vitu gani huwafanya kutotimiza malengo yao maisha

    Hii ndio sababu inayobeba kilakitu
  10. C

    Kukosa hamu ya tendo la ndoa

    Pole sana kula vyakula kama nyanya chungu bamia na ndizi za kuchemsha kwa muda hata miezi mitatu. Simaniishi kila siku lakini angalau hata marambili ktk wiki. Utpata nyege na wakati wa kula tunda utakuwa unamwaga maji mengi ambayo yatakupelekea kufika kileleni pia
  11. C

    Mbunge Moses Machali ampiga na kumuumiza vibaya baba yake mzazi

    Mkuu Ile amri ya Mungu ya kuwaheshimu baba na mama ili uishi miaka mingi duniani inanafasi yake!!
  12. C

    Mbunge Moses Machali ampiga na kumuumiza vibaya baba yake mzazi

    Swala la dawa ni migao midogo wanayopewa vituo vya afya n.k so zinaisha kabla ya muda.
Back
Top Bottom