Recent content by Chuck's

  1. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    unaweza kujiunga na biashara ya forever living wakati unasubiri ajira,
  2. C

    JamiiForums Tanzania kazi za zantel

    jamani wadau, naona siku zinazidi kuenda...kazi zilizotolewa na zantel washaita watu kwa interview?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Telex free imeingi mjini hivi hii ni scum au ni dili

    mwenye sikio na asikie.....
  4. C

    JamiiForums Tanzania Telex free imeingi mjini hivi hii ni scum au ni dili

    Telexfree ni moja ya njia ambayo unaweza pata hela kwa kupost tangazo online....unajoin kwa usd 400 amayo utakuwa unalipwa usd 20 kila wiki...kuanzia siku uliyojiunga, au usd 1500 unalipwa dola 100 kila wiki na kuendelea... but nakushauri uingie forever kuliko huko, mimi niliingia nikatoka, coz...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Gym-oilcom sayansi

    thanks
  6. C

    JamiiForums Tanzania Gym-oilcom sayansi

    kuna watu wanapasifia.....au inategemea ulivyowakuta...mi nakaa kijitonyama, ndo mana nkaona itakuwa karibu pale
  7. C

    JamiiForums Tanzania Gym-oilcom sayansi

    Azura kwenyewe sh ngapi?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

    kuna watu wanadesa hadi mambo ya ajabu tatizo, unakuta mdada anapost picha za utupu instagram...sijui ndo kuwa fashioned, mi sielewagi kwa kweli, jaribu kusearch jmosha instagram,utanielewa ninachomaanisha
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake kutumia vibomba

    mi nlijua peke yangu......kumbe tuko wengi,....hihihi.....achana na ile kitu, ni noooooooma, team vibomba
  10. C

    JamiiForums Tanzania Gym-oilcom sayansi

    Habari, nani anajua bei ya gym pale sheli ya oilcom sayansi, na wanakubali kulipia wiki mbili?
Back
Top Bottom