Recent content by Chrost

  1. Chrost

    JamiiForums Tanzania Iran Kwanini Hapigi Israel

    Unamaliza mbao tu mkuu na maelezo mareefu! umesahahu Ayatollah kafa na wamezika na wao kwa nn wasimuue Trump au Netanyau badala ya kubweka tu
  2. Chrost

    JamiiForums Tanzania Tanzura Kabla ya Next World Cup kuna ubwabwa

    KM= Mkongwe wa msoga Madereva=Bashite Maskafu=Rais wa mawe Maza=Kitambaa chekundu Balozi=Ntu ya sisitimu kitambo Code hiyo nimeifungua
  3. Chrost

    JamiiForums Tanzania Aliyejifanya Mwamba hahami Gaza-City hata iweje aripuliwa!!!!!

    Hamas kwa Ujinga waliofanya October wanawatesa Raia wasio na hatia
  4. Chrost

    JamiiForums Tanzania Asharose hana ubora kwenye uongozi ila connection na Kikwete ndio inambeba

    Nakukumbusha pia kuwa Rostam alirejea Nchini wakati wa mwendake ,akazindua na kiwanda chake cha ngozi Morogoro,pia aka engineer Mamvi kurudi ccm wakipokelewa na n Mwendazake mwenyewe Ikulu.
  5. Chrost

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kulimaliza Taifa lolote zimalize Taasisi hizi 4. Kagame yuko sahihi kutudharau Watanzania

    Kilaza katika ubora wake,hivi unayajua yanayotokea katika utawala wa Kagame au umeandika kuonyesha ufundi wa uandishi.Hakuna mhimili wowote unaoweza kuhoji utawala wa PK ni alfa na omega.Tz kuna shida ila ya kwa KP ni mara 10 ya yanatokea TZ
  6. Chrost

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC wenzangu hapa JF tumejiandaaje kupokea tamko rasmi la Uongozi wa Yanga SC kupitia Rais wetu Injinia Hersi kuwa tutacheza tarehe 15 Juni?

    Akili ndogo ni kuamini kila nyanja ya maisha ni platform ya siasa.
  7. Chrost

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Uwanja unaojengwa Arusha utakuwa na uwezo wa kudumu miaka 130

    Anajua uwanja wa Mkapa umefungiwa huyu na haujafika hata miaka 30
  8. Chrost

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marekani ni uthibitisho wa Ubaguzi hautoisha duniani

    Hoja mufilisi
  9. Chrost

    JamiiForums Tanzania Chama tawala chini ya Masisi chapoteza madaraka katika uchaguzi Botswana baada ya miaka 58

    Tanzania ccm imechoka na wapinzani wamechoka ,wananchi wamekataa tamaa wanaona bora liende tu.
  10. Chrost

    JamiiForums Tanzania Uturuki imewapiga Wakurdi zaidi mara 1000 ndani siku nne kuretaliate shambulio la kigaidi lilifofanyika. Cha ajabu hatusikii wanaharakati mkilaani

    Maelezo marefu yasiyo na mantiki,kwa hiyo unataka kusema wakurdi ni wa kutoka sayari ya Mars hawatakiwi kokote.Umejikita kutetea wakurdi wapigwe tu kwa kuwa eti hawapendwi,mara wanatega mabomu bila sababu,unataka kusema wao hawana masilahi yoyote wana matatizo ya akili ? Tupate elimu zaidi
  11. Chrost

    JamiiForums Tanzania Itachukua miaka 350 kujenga Gaza kama ilivyokuwa

    Hamas kama kikundi cha kisiasa na kijeshi chenye nguvu pale palestina walifanya makosa makubwa sana kufanya yale mauaji ya October 7,wamewaletea shida kubwa sana wananchi wasio na hatia wanauwawa kila siku sababu ya ujinga wao.
  12. Chrost

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kura za Maoni za CCM ngumi zafumuka kila Mahali

    Kata ya Makongo hali ni shwari kabisaa,shida ipo kwa waswahili huko
  13. Chrost

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigamboni: CCM wararuana wenyewe kwa wenyewe. Vurugu zapamba moto kwenye Uchaguzi wa ndani ya chama

    Sisi mtaani kwetu tunakwenda na Mzee wetu Kasanga,Upinzani watusamehe tu.
  14. Chrost

    JamiiForums Tanzania Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?

    TISS Huyo kazi maalum ,Head of International Economic& political operation,inasemekana pia ni double agent.
Back
Top Bottom