Recent content by Chrizant Kibogoyo

  1. Chrizant Kibogoyo

    JamiiForums Tanzania Nimepokea ujumbe wenye lugha ya matusi kutoka kwa Afisa Dawasa mpya wa eneo la Kimara

    Mnafikiri mpo chuoni hapa mlipokuwa mnadesa pamoja. Ndio matatizo ya kuibia majibu, shule hafi vyuoni. Kazini mnashindwa kuperform na hata nyie wapambe wake readoning capacity Zero. Nionyeshe wapi nadaiwa na Dawasa kama mimi sio kuwadai?
  2. Chrizant Kibogoyo

    JamiiForums Tanzania Nimepokea ujumbe wenye lugha ya matusi kutoka kwa Afisa Dawasa mpya wa eneo la Kimara

    Kama ndio hivyo kwa mujibu ya ufafanuzi wa Afisa huyu wanaonekana wanadaiwa huchanganyiwa bili na madeni na lugha mbovu za vitisho juu yake. Kama mimi ninaidai Dawasa Kwanini sipatiwi bili yangu kwa lugha za kiungwana ikionyesha usomaji wa mita n.k kama aluvyofafanus?
  3. Chrizant Kibogoyo

    JamiiForums Tanzania Nimepokea ujumbe wenye lugha ya matusi kutoka kwa Afisa Dawasa mpya wa eneo la Kimara

    Lalamiko ni kutumiwa msg yenye lugha mbovu Tar 17/12/2018 ilihali sijapatiwa bili yangu ya Des 2018 kama alivyofafanua. Tena kabla sijapata bili ya Des 2018 Tar 21/12/2018 unatumiwa tena msg ya lugha mbovu. Kwanini mteja atumiwe msg zenye lugha mbovu hata kabla mwezi husika haujaisha? Kumbuka...
  4. Chrizant Kibogoyo

    JamiiForums Tanzania Nimepokea ujumbe wenye lugha ya matusi kutoka kwa Afisa Dawasa mpya wa eneo la Kimara

    Mtumishi mwenye umri wa watoto wako wa kuwazaa anapokukashifu kuwa ni "Mchochezi" ndani ya jukwaa lenye zaidi ya 300 mnaoishi sehemu moja kwa kulalamikia kile ambacho hata yeye ametoa ufafanuzi kuwa tunakosewa Mtumishi wa ofisi ya umma tena mwenye makamu ya watoto wako wa kuewazaa anapokutolea...
  5. Chrizant Kibogoyo

    JamiiForums Tanzania Nimepokea ujumbe wenye lugha ya matusi kutoka kwa Afisa Dawasa mpya wa eneo la Kimara

    Mtumishi anapomuita mteja ni mchochezi anapodai huduma stahiki sio tusi?
  6. Chrizant Kibogoyo

    JamiiForums Tanzania Nimepokea ujumbe wenye lugha ya matusi kutoka kwa Afisa Dawasa mpya wa eneo la Kimara

    Katika hali ya kushangaza kabisa nimepokea ujumbe wenye lugha ya matusi kutoka kwa Afisa Biashara mpya wa eneo la Kimara kutokana kitendo changu kudai kutumiwa Ankara sahhi inayoonyesha kiwango cha maji na kiasi cha fedha ninachodaiwa kwa matumizi ya maji kwa mwezi Desemba 2018. Sakata zima hadi...
  7. Chrizant Kibogoyo

    JamiiForums Tanzania Jamani wanayanga tumechoshwa na matusi ya Haji Manara

    Hii ni rai kwa viongozi wa klabi ya Yanga kuwa tumechoshwa na matusi ya Msemaji wa watani wetu Haji Manara katika mitandao ya kijamii. Mara kwa mara amekuwa akipost picha za kuwakebehi wachezaji wetu kuwa hawalipwi mishahara, lishe yao ni mbovu n.k. Niwaombe viongozi wetu wabuni mikakati ya...
  8. Chrizant Kibogoyo

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa, tumpongeze Rais Magufuli kujirekebisha

    MTK kwa ile kauli ya Mhe Rais ya juzi kuhusu bomoa bomoa watendaji wote waliokuwa na mawazo kuwa kwa kubomoa Nyumba za wananchi ndio wanamfurahisha mkubwa iabidi wajitafakari upya. Kwa sisi tunaojua adha ya kubomolewa makazi ni lazima tumpongeze kiongozi yeyote anayechukua hatua za kuwaepusha...
  9. Chrizant Kibogoyo

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa, tumpongeze Rais Magufuli kujirekebisha

    MTK na wote mnaonitukana hamfahamu maandiko ya dini yanayosema kuwa "ukizabwa Kofi shavu la kulia geuza na la kushoto". Sasa kama The Raid kajirekebisha kwanini tusimsifie? Hata tukiendelea kununa ndio kutarejesha makazi yetu?
  10. Chrizant Kibogoyo

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa, tumpongeze Rais Magufuli kujirekebisha

    Niwashukuru nyote mliochangia. Nadhani wengi wenu hamkuupsta msingi wa mafa yangu kuwa ni maandiko ya kudini kuwa "shukuruni kwa kila jambo". Hivyo nikiwa kiongozi wa wahanga wa hiyo bomoa bomoa ndio niliona njia peke iliyobaki baada ya jitihada zetu zote ikiwemo kuishinda serikali mahakamani...
  11. Chrizant Kibogoyo

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa, tumpongeze Rais Magufuli kujirekebisha

    Tarehe 02 Nov 2017 nilipokea Simu na ujumbe ukinipongeza kwa mahojiano niliyoyafanya na kituo cha runinga cha ITV. Mahojiano yale niliyafanya na ITV mwaka 2015 nikiwa Mwenyekiti wa Wahanga wa Bomoa bomoa ya Barabara ya Morogoro ikiwa ni moja ya njia za kuwatetea waathirika. Pengine kituo cha...
  12. Chrizant Kibogoyo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mamilioni ya wapenzi wa Yanga tunashindwa kuichangia timu yetu tuipendayo?

    Mkuu 10,000/= ni via 4 tu. Nikupongeze Kwa kutia moyo uongozi WS timu yetu
  13. Chrizant Kibogoyo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mamilioni ya wapenzi wa Yanga tunashindwa kuichangia timu yetu tuipendayo?

    Kama hiyo mnayoita Short Code ilitolewa haikutolewa Na watu wenye utaalamu wa Mambo ya uwekezaji. Nahisi waliotoa hiyo Short Code hawakufanikiwa kwa sababu ya kutaka wanayanga wachangie timu kama wafanyavyo ktk harusi. Kabla uongozi kutoa Short Code ulitakiwa kuandaa nyaraka kama vile mahesabu...
  14. Chrizant Kibogoyo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mamilioni ya wapenzi wa Yanga tunashindwa kuichangia timu yetu tuipendayo?

    Kilichofanyika ni watu wasio na utaalamu wa masuala ya uwekezaji kutoa Short Code kuwataka watu kuchangia kama harusi. Soka ni biashara. Ili kufanikiwa ktk biashara yeyote ni lazima maandalizi ya kutosha yafanyike ikihusisha wataalamu wa fani mbali mbali kama vile wachumi, wanasheria n.k
  15. Chrizant Kibogoyo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mamilioni ya wapenzi wa Yanga tunashindwa kuichangia timu yetu tuipendayo?

    Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano umeanza kutuonyesha Watanzania kuwa tunao uwezo wa kujitegemea Kwa kutumia raslimali zetu wenyewe. Katika siku za karibuni Mfadhili wa Klabu yetu ya Yanga amekuwa akikubwa Na changamoto mbali mbali za kisheria, kiasi cha kushindwa kuendelea kutoa ufadhili...
Back
Top Bottom