Bomoa bomoa, tumpongeze Rais Magufuli kujirekebisha

Tarehe 02 Nov 2017 nilipokea Simu na ujumbe ukinipongeza kwa mahojiano niliyoyafanya na kituo cha runinga cha ITV.

Mahojiano yale niliyafanya na ITV mwaka 2015 nikiwa Mwenyekiti wa Wahanga wa Bomoa bomoa ya Barabara ya Morogoro ikiwa ni moja ya njia za kuwatetea waathirika. Pengine kituo cha ITV waliamua kurejea kurusha mahojiano hayo baada ya suala la bomoa bomoa kuibuliwa na Mhe Rais Magufuli katika hotuba yake ya hivi karubuni jijini Mwanza alipositisha bomoa bomoa iliyokuwa itekelezwe jijini humo na kuzitaka mamlaka husika kuwa na "huruma za kibinadamu" hata wananchi walikosea na kuvunja sheria. Kwa hakika watanzani wengi wameshangazwa na kupigwa butwaa na mabadiliko haya msimamo wa Mhe Rais kiasi cha kuanza kumshutumu kwa tuhuma mbali mbali ikiwemo ubaguzi, upendeleo n.k

Kiini cha tuhuma hizi dhidi ya Mhe Rais ni ukweli kuwa kauli yake ya kuzitaka mamlaka husika kuwa na huruma na wananchi hata kama wamevunja sheria inakuja miezi michache baada ya maelfu wa wananchi wa eneo la Ubuno hadi Kiruvia kubomolewa makazi yao pasipo huruma yeyote licha ya ukweli kuwa walikuwa wameigaragaza Setikali, Wizara ya Ujenzi na Tanroads mbele ya vyombo vya sheria na mahakama kutamka wazi wazi kuwa wananchi hawa sio wavamizi na wanamiliki Ardhi husika kuhalali kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi. Ikumbukwe kuwa wahanga wengi wa hii bomoa bomoa wameathirika kwa njia mbali mbali ikiwemo kupoteza maisha kwa mishtuko ya kubomolewa makazi yao n.k.

Maandiko ya kidini yanatufunza kushukuru kwa jambo lolote. Wahanga wa bomoa bomoa hii ya kionevu na yenye kila ishara ya uvunjifu wa haki za kikatiba na kusheria za wananchi tulilazimika kumshukuru mungu kwa masahibu yaliyotukuta
.

Kwa dhati ya moyo wangu nichukue fursa hii kumshukuru nwenyezi mungu kwa kumpatia Rais wetu maono ya kuwa na huruma kwa wananchi wake hususan wale waliokosea na kuvunja sheria katika suala hili la bomoa bomoa. Ni imani yangu kuwa kwa uweza wa mwenyezi kumtia mtukufu Rais wetu huruma itanusuru maelfu ya kaya na adha za bomoa bomoa, ikiwemo kaya kukosa makazi, kupoteza vipato n.k.

Ni imani yangu kuwa kupitia maombi yetu mwenyezi mungu atazidi kumwongoza Rais wetu huruma kwa wananchi wake.
Hivi nchi yenye watu hivi kama wewe tutegemee maendeleo?? Yaani utadhani nchi ya matahira kufikiri hakuna tena tunaishi kama mazombii..! Shame on you.
 
Tatizo si bomoabomoa ila ni hawa ndio walionipigia kura mimi kuwa rais kauli ambayo ni ya kibaguzi.
 
Kweli Kibogoyo sasa umepoteza na meno kabisa baada ya kupoteza makazi! Kilichotokea Mwanza kinaibua maswali zaidi kuliko majibu, kuna lipi la kushukuru hapo mbona unaridhika prematurely?! Hivi kwa kauli ya mwanza Mrs Ng'itu kafufuka? Na hao wanaolala nje je?!
MTK na wote mnaonitukana hamfahamu maandiko ya dini yanayosema kuwa "ukizabwa Kofi shavu la kulia geuza na la kushoto".

Sasa kama The Raid kajirekebisha kwanini tusimsifie? Hata tukiendelea kununa ndio kutarejesha makazi yetu?
 
Tumekusoma Kaka Chrizant, nisamehe kwa kutumia neno lenye ukakasi, lakini hoja ni kwamba hata maandiko ni dynamic! Mimi nakushangaa kwa kushindwa kwako ku-capture ukweli kwamba "Hajajirekebisha" bali ule ni msimamo mahsusi kwa watu wa Mwanza ambao hauwauhusu wewe na watu wako uliowapigania kijasiri kwa miaka mingi Chrizant, baadhi yetu tunaitambua na kuiheshimu your long struggle kuhusu swala hili, tunauchungu na kuwaoneeni huruma sana wenzetu, stay vigilant, muda wa kujificha kwenye maandiko umepitwa na wakati, Tanzania hii sio ile uliyokulia wewe na mimi Chrizant!

u
 
MTK kwa ile kauli ya Mhe Rais ya juzi kuhusu bomoa bomoa watendaji wote waliokuwa na mawazo kuwa kwa kubomoa Nyumba za wananchi ndio wanamfurahisha mkubwa iabidi wajitafakari upya.

Kwa sisi tunaojua adha ya kubomolewa makazi ni lazima tumpongeze kiongozi yeyote anayechukua hatua za kuwaepusha wananchi wanyonge na adha hiyo. Na Mhe Magufuli sio kiongozi wa kwanza kubadili msimamo wake. Miaka ya 60 Mwalimu ndiye aliyetaifisha majumba yote mijini na kuyakabidhi 'Msajili wa Nyumba" na baadaye NHC. Alitaifisha pia mabenki, mashamba, shule za binafsi na taasisi n.k. Lakini wakati akitunga Katiba ya Tanzania ya 1977 aliweka kifungu kinachozuia "Utaifishaji".

Kwa msingi huo ni lazima nimpongeze Mhe Magufuli kwa kubadili msimamo wake na kuwaonea wananchi wanyonge huruma wasibomolewe nyumba zao kiholela. Kuendelea kununa kwa sababu ya kubomolewa nyumba hakutarejesha makazi yetu.Maisha lazima yaendelee
 
Tarehe 02 Nov 2017 nilipokea Simu na ujumbe ukinipongeza kwa mahojiano niliyoyafanya na kituo cha runinga cha ITV.

Mahojiano yale niliyafanya na ITV mwaka 2015 nikiwa Mwenyekiti wa Wahanga wa Bomoa bomoa ya Barabara ya Morogoro ikiwa ni moja ya njia za kuwatetea waathirika. Pengine kituo cha ITV waliamua kurejea kurusha mahojiano hayo baada ya suala la bomoa bomoa kuibuliwa na Mhe Rais Magufuli katika hotuba yake ya hivi karubuni jijini Mwanza alipositisha bomoa bomoa iliyokuwa itekelezwe jijini humo na kuzitaka mamlaka husika kuwa na "huruma za kibinadamu" hata wananchi walikosea na kuvunja sheria. Kwa hakika watanzani wengi wameshangazwa na kupigwa butwaa na mabadiliko haya msimamo wa Mhe Rais kiasi cha kuanza kumshutumu kwa tuhuma mbali mbali ikiwemo ubaguzi, upendeleo n.k

Kiini cha tuhuma hizi dhidi ya Mhe Rais ni ukweli kuwa kauli yake ya kuzitaka mamlaka husika kuwa na huruma na wananchi hata kama wamevunja sheria inakuja miezi michache baada ya maelfu wa wananchi wa eneo la Ubuno hadi Kiruvia kubomolewa makazi yao pasipo huruma yeyote licha ya ukweli kuwa walikuwa wameigaragaza Setikali, Wizara ya Ujenzi na Tanroads mbele ya vyombo vya sheria na mahakama kutamka wazi wazi kuwa wananchi hawa sio wavamizi na wanamiliki Ardhi husika kuhalali kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi. Ikumbukwe kuwa wahanga wengi wa hii bomoa bomoa wameathirika kwa njia mbali mbali ikiwemo kupoteza maisha kwa mishtuko ya kubomolewa makazi yao n.k.

Maandiko ya kidini yanatufunza kushukuru kwa jambo lolote. Wahanga wa bomoa bomoa hii ya kionevu na yenye kila ishara ya uvunjifu wa haki za kikatiba na kusheria za wananchi tulilazimika kumshukuru mungu kwa masahibu yaliyotukuta
.

Kwa dhati ya moyo wangu nichukue fursa hii kumshukuru nwenyezi mungu kwa kumpatia Rais wetu maono ya kuwa na huruma kwa wananchi wake hususan wale waliokosea na kuvunja sheria katika suala hili la bomoa bomoa. Ni imani yangu kuwa kwa uweza wa mwenyezi kumtia mtukufu Rais wetu huruma itanusuru maelfu ya kaya na adha za bomoa bomoa, ikiwemo kaya kukosa makazi, kupoteza vipato n.k.

Ni imani yangu kuwa kupitia maombi yetu mwenyezi mungu atazidi kumwongoza Rais wetu huruma kwa wananchi wake.
Km huko imesitishwa ina maana ilikuwa kwaajili ya kuwa komoa baadhi ya watu Mambo ya 'Double standards'
 
Unaleta hoja ya msingi lakini unaijadili kinafiki sana. Please be bold. It is wrong by any standards to try to treat people differently. Sisi watanzania tujifunzeni sana kuacha mambo ya political correctness katika mambo ya msingi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom