Recent content by Christopher krugger

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa MGODI wa Vodacom waweza kuwa changamoto kwa maskini

    Hii mbona kali ila ni wajanja asee mi ndio nimegutuka leo 😄😄 kwenye 114,000 walinkopaga 90k kam kumbukumbu zko vzr ila uzuri sikuwalipa nilichukua hela nikalala mbele.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Sio vibaya ukianza kwa ku-share tracks tano za rap bora uzipendazo za muda wote

    1.mockingbird -Eminem 2.whem im gone-Eminem 3.stan-Eminem
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wanne wa taasisi ya mikopo ya OYA wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya kukusudia

    Kwa hii case acha wakome sio siri unapata wapi ujasiri wakupiga mtu na kuua kisa 40000 mbaya zaidi sio madeni wako...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Dodoma kuna shida gani mbona kupata kazi kwenye Private Sector ni ngumu sana?

    Mambo ya mtandaoni bhana Kila mtu mjuaji asee, ukifatilia huu Uzi unaeza jiona fala .....ukweli mtaani kazi hamna yaani hadi saidia fundi inahitaji kujuana....yote hii inatokana na mfumo mbovu wa elimu yetu,yaani elimu ya Tanzania ni hovyo haimpi mtu skills za endapo hujaajiriwa ni nini...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Unapozidishiwa chenji huwa unarudisha au ndio wimbo wa Albert Mangwear "kimya kimya" mwendo wa haraka mbele

    Ndio maisha Hayo mm sirudishagi Kuna siku nilienda kwa wakala kueka buk mbili nibetie maana bum lilikua limeisha akaweka buk 20 Sasa scenario hiyo unarudishaje hela ....take it ukifika muda wa kurudisha utarudisha tu
  6. C

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum nawaomba msamaha kwa swali hili, Hivi mnapataje pesa ?

    Hii itakua na wafadhili nadhani,maana matangazo ni machache sana hata ya google hamnaga humu.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Je, tunaenda sasa kushuhudia kufutika kwa Utawala wa Kiayatollah kule Iran?

    Cha msingi tusisikie kelele za Israel ni makatili maana Iran wameyataka wenyewe
  8. C

    JamiiForums Tanzania tiGO yaburuzwa mahakamani kudaiwa fidia ya sh. 26,880,000/=

    Tigo kwakweli wanamambo ya kitigo sana
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mi ndio maana nwakubali selcom
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi kidogo wachukue chao yaani kidogo..nikasema ngoja niache niitafute alternative ya kutolea pesa
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hatari sana mi nilijichanganya nikideposit kwa mazoea nataka kutoa nakuta blank
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wamefunga hadi Skrill maboya hawa sijui ndio wanataka watupige....... ulintumia njia Gani niiepuke?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kampuni inazingua hii ngoja nikajaribu kutoa kwa hizo njia nyingine kama itatoka ntarudi kuwapa mrejesho maana Kuna mtu ame suggest astropay
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawa 888 starz vipi?Tuna mipunga yetu huko asee
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ok...Sasa kwa mfano nikideposit na astropay sahz naeza toa na kiasi ambacho kilikuepo awali?
Back
Top Bottom