Recent content by Christopher H.Bomola

  1. Christopher H.Bomola

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na vipaumbele vinavyolenga kuipaisha Tanzania kiuchumi

    Karibuni kujisomea makala hii
  2. Christopher H.Bomola

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na vipaumbele vinavyolenga kuipaisha Tanzania kiuchumi

    Na Comrade Christopher H.Bomola Mwanafalsafa Rosalynn Carter alipata kusema "kiongozi ni mtu anayewaongoza watu na kuwafikisha wanapotaka kwenda,lakini kiongozi bora ni yule anayewaongoza watu na kuwafikisha sio lazima wanapotaka wao kwenda bali wanapotakiwa kufika". kiongozi mwenye maono ni...
  3. Christopher H.Bomola

    JamiiForums Tanzania Temeke, Dar: Ili upige muziki kwenye sherehe/shughuli utapaswa kulipia elfu 50 ya kibali

    Or anaweza kutoza bei ya juu ili difference inayobaki baada ya kulipia kodi ikawa faida yake
  4. Christopher H.Bomola

    JamiiForums Tanzania Kozi ya shahada ya sheria chuo kikuu huria

    Naomba mwenye uzoefu au aliyesoma kozi ya sheria katika chuo kikuu huria,nataka kujua nasoma mnasoma unit ngapi kwa muhula wa kwanza na natakiwa kujichanga shilingi ngapi ili angalau niweze kuwa admitted na kuanza masomo kwa semesta ya kwanza. Natanguliza shukrani
  5. Christopher H.Bomola

    JamiiForums Tanzania Huduma mahala pamoja yaipaisha Kituo cha Uwekezaji Tanzania

    HUDUMA MAHALA PAMOJA “ONE STOP SHOP” YAIPAISHA KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA CHRISTOPHER BOMOLA Serikali ya awamu ya tano tangu kuingia madarakani mnamo mwaka 2015 imeweka mkazo mkubwa katika sekta ya uwekezaji kwa kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo mageuzi ya kitaasisi na kisera ili pamoja na...
  6. Christopher H.Bomola

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    Jamaa ameongea vitu vya msingi sana
  7. Christopher H.Bomola

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    Ngoja tuone mzalendo akimwaga sera
  8. Christopher H.Bomola

    JamiiForums Tanzania Mchange awa gumzo Ubunge Kibaha mjini

    hauzi nini tena mkuu
  9. Christopher H.Bomola

    JamiiForums Tanzania Mchange awa gumzo Ubunge Kibaha mjini

    Sera zake zakubalika kwa Vijana na Wakina Mama. Mgombea Ubunge ambaye alikuwa mshindi wa pili katikauchaguzi wa Ubunge Kibaha mjini ameteka siasa za jimbo la kibaha mjini na kuwagumzo katika mji huo baada ya kuonekana katika shughuli mbalimbali za kijamiijimboni humo. Habibu Mchange mwanasiasa...
  10. Christopher H.Bomola

    JamiiForums Tanzania Asemavyo Zitto: Mahojiano, Makala na Hotuba - Jipatie Makala yako sasa!

    Asemavyo Zitto, Safi sana kijana Zitto, uzalendo daima
  11. Christopher H.Bomola

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Zitto amesema Yeye ni mwanasiasa na ana ngozi ngumu ashambuliwe yeye wamwache mama yake apumzike.
  12. Christopher H.Bomola

    JamiiForums Tanzania Barua hizi zinaonyesha Wahusika wakuu wa wizi wa ESCROW funds,l tuzichambue kwa umakini

    Mmh sheria inachanganya kweli, kama judicial notes inasema hivyo basi hakuna utata
Back
Top Bottom