Recent content by Christopher Brighton

  1. Christopher Brighton

    Naomba nisaidieni niweze kurudisha Ajira yangu ya Utumishi wa Umma

    Inawezekana kurudi...Nina ushahidi wa watu zaidi ya watatu waliorudi... Ishu ni majina tu katika system ya Lawson...Ukicheza vizuri na majina unarudi vizuri tu..
  2. Christopher Brighton

    Ajira portal

    Swali ndo linaangukia hapo ...iyo notification kwa kawaida hutumwa kipindi gani?,maana hiyo iliwai kutumwa usaili ulishapita..ndo ninahitaji Mwenye uelewa wa hawa watu kutuma notification kama hizo ndugu...
  3. Christopher Brighton

    Ajira portal

    Kuna huo mrejesho hapo wa utumishi...mbali na status
  4. Christopher Brighton

    Ajira portal

    Umenielewa maswali yangu?
  5. Christopher Brighton

    Ajira portal

    Habari wana jamvii. Naomba kuuliza kuhusu taarifa ya mrejesho wanayotoa hawa utumishi pindi huombapo nafasi ya kazi. 1.Je mrejesho hutumwa Mara tu unapoomba au siku watakayofungua akaunt yako? 2.Kwa nafasi uliyoomba kama ujapata mrejesho (notification) ya kupongezwa kuwa maombi yako...
  6. Christopher Brighton

    Ni kasheshe, ni balaa, ni kazeze ni ujinga

    Umenena mkuu,mambo mengi ya serikali ni ya ajabu ajabu kweli...uwezo wa watendaji wengi ni mdogo sana nadhani ni kutokana na kuingia katika mfumo kwa kupitia migongo ya watu na si uwezo..[emoji57]
  7. Christopher Brighton

    BETRI YA LAPTOP INAUZWA

    Betri ya laptop dell inspiration inauzwa ni mpya Mobil.0717616188/0624729843
  8. Christopher Brighton

    Kuitwa kwenye interview MSD

    Kwa hiyo mmeshaanza kazi sio?Namaanisha zile post A software developers..[emoji3]
Back
Top Bottom