Christopher Brighton
Member
- Jun 14, 2017
- 10
- 3
Habari wana jamvii.
Naomba kuuliza kuhusu taarifa ya mrejesho wanayotoa hawa utumishi pindi huombapo nafasi ya kazi.
1.Je mrejesho hutumwa Mara tu unapoomba au siku watakayofungua akaunt yako?
2.Kwa nafasi uliyoomba kama ujapata mrejesho (notification) ya kupongezwa kuwa maombi yako yamepokelewa,je maana yake taarifa zako zimetupwa kapuni au vipi? Naomba ufafanuzi kwa haya :