Recent content by Christiba

  1. Christiba

    Nafikiri Naweza kutengeneza GUIDED MISSILE!

    Hahaha hii ndio Bongo kaka
  2. Christiba

    Nafikiri Naweza kutengeneza GUIDED MISSILE!

    Mtu anatumia muda, akili na nguvu kumkatisha mwenzake tamaa... sisi ndio wana wa Africa
  3. Christiba

    Inaelezwa ‘Illuminates’ wanaua watu weusi wanaonekana kupata nguvu kama Kobe na Chadwick (Black Panther)

    Asili inafanya kila kiumbe kipitie kifo, so unataka kuniambia wakina Paul Walker waliuawa na blacks!!! Hata kama tunahisi tunachukiwa na wazungu but sometimes tunajiongeza hadi tunauruka ukweli.
  4. Christiba

    Ku-copy na ku-paste style za member wa JF

    Unajua uhalisia ni uhalisia tu, atapata likes na comments ila moyoni mwake atajua sio yeye ni za jamaa fulani. Japo tabia hiyo inaboa ila inaweza kukuonesha kiasi gani watu wanapenda madini yako.
  5. Christiba

    Ku-copy na ku-paste style za member wa JF

    Jivunie kaka huyo ni shabiki yako
  6. Christiba

    Je umepigwa na kuangushwa? Nyanyuka tena kwa tabasamu

    TUJIULIZE Je umepigwa na kuangushwa? Nyanyuka tena kwa tabasamu, haijalishi suala la wewe kuitafuta huruma kwa kuendelea kulala, hakuna kinachokuzuia usinyanyuke, je unajua kuendelea kulala ni kuitafuta aibu? Kama mpira unavyodundishwa chini kwa nguvu, ndivyo huruka juu zaidi, jivunie...
  7. Christiba

    Jinsi gani tunayaishi maisha feki

    Nakubaliana na wewe japo sijabase sana kwenye dini. Kuhusu kwenda kuimiliki dunia Mungu aliwaagiza watu wote wakaitawale dunia but unaona leo dunia inatawaliwa na wachache, kwanini? Sababu ya umimi ambao tuliuweka kichwani tokea tukiwa wadogo kutokana na maneno ya umilikishi binafsi...
  8. Christiba

    Jinsi gani tunayaishi maisha feki

    Simply cha kujua hapo ni kuwa maneno unayoyasikia ndio huzaa fikra na fikra huzaa utu fulani( personality), unachofikiri ndivyo utakavyokuwa, kwa kusikia maneno ya umilikishi na kujirejelea tokea utotoni kulitengeneza fikra ya kujihisi bora kuliko wengine na fikra ya kuona thamani ya utu wetu...
  9. Christiba

    Jinsi gani tunayaishi maisha feki

    Maisha ni utu, utu sio vitu, utu haupo katika kumiliki, maisha haya ya kupambana kutafuta mali na kumiliki yamejengwa na fikra zetu tu soma hapo juu nimereply kwa jamaa
  10. Christiba

    Jinsi gani tunayaishi maisha feki

    Fikra zako zimetokana na maneno na sentensi mbali mbali ambazo unazisikiaga katika maisha yako ya kila siku pasipo maneno hakuna fikra na bila fikra hakuna personality jinsi unavyofikiria ndivyo wewe ulivyo. Maneno ya umilikishi ambayo tunayaskia toka udogoni yalitujengea fikra za umimi ambazo...
  11. Christiba

    Jinsi gani tunayaishi maisha feki

    Mbali na h vipi umejifunza kitu #kalola au umeona h tu?
  12. Christiba

    Kusudi la maisha katika miili

    Tupambane tu
  13. Christiba

    Kusudi la maisha katika miili

    Hiyo tayari summarized
  14. Christiba

    Kusudi la maisha katika miili

    Kweli kaka
Back
Top Bottom