Hii Habari Ya Uzushi Ni Kweli Imesambaa Sana.Mimi Nina Ndugu Zangu Zambia Jana Wamenipigia Simu Kuhusu Kifo Feki Cha Diamond,Nikawaambia Hajafa Na Leo Halikua Mahakamani Na Kesi zake Za Kutohudumia Mtoto
Pole sana Mama. Ilo tatizo dogo sana ata angelikua na waganga milioni. Wewe cha kufanya ni maombi tu Tumia Damu ya YESU Mumeo atarudi kwa magoti.au njoo kanisani Lutheran Kimara korogwe kwenye Maombi kila Ijumaa na Jumamosi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.