Wakuu,
Naomba tusaidiane kitu katika uchumi je Afrika ni miongoni mwa bara la watu wengi ambao tunaishi below our means na pia watu wapo chini katika uelewa ikiwemo hata kuandika na pia adaptability ya mitandao na current tech ngoja niende kwenye je kampuni za kiteknolojia zitawezaje kutake off...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.