Kwa maelezo yako wewe sio mkatolic labda mkatolic wa mtandaoni. Padri anapata wapi mda wakuzunguza porojo wakati wa misa wakati anaenda na ratiba? Muda pekee ambaye padri huzungumza alichokiandaa ni muda wa mahubiri na kidogo sana tena sio lazima ni baada ya misa.
Wewe sio mkatoliki sababu...
Hizi ndizo akili za ajabu sasa nchii haihitaji chama inahitaji watu kana kwamba hata chama kisipokuwepo watu wataongoza. Sasa mnaoshabikia vyama kama Simba na Yanga kiasi kikubwa mpo kimaslahi na mnaimia kuona wenzenu wanakula na mnataka na nyie mkale.
Sidhani kama wananchi wa Tanzania wanashida sana na vyama. Wanachagua wanachagua mtu na sio vyama. Ni mjinga tu ndie ataamini kuwa kila aliye chadema ni msafi na kila aliye ccm ni mbaya. Na kwa taarifa yako bora hata ccm wanaozoefu kidogo wa mambo wanaweza kuingia hao wengine ndio kila kitu...
Tatizo kuna watu mnaendekeza vyama kuliko utu na nchi hii ni habari ya kujiuzulu makamu wa rais af kuna mtu anasema Lema ni nabii unabii unahusikaje hapa?
H
Wewe ni chizi kweli na mpira hujui yaani mechi moja ndio unaanza kupiga kelele humu jukwaani acha ujinga. Hamkuongoza ligi msimu uliopita kwa point 12 baadae mkaanza kuomba dua timu zingine zipoteze?
Vyuo vyetu vya ufundi kama ATC, DIT na MUST kwa nini wasiwe na kitengo cha uanzishwaji na usimamizi wa viwanda vidovidogo yaani factory. Kweli hata kiwanda cha kubangua korosho waje wawekezaji wa nje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.