Recent content by Christafari

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

    Wananchi TUKO PAMOJA NANYI msiogope makamanda .
  2. C

    JamiiForums Tanzania The Current Bunge's Syndrome:- Je Ni Case Study ya Umri na Uongozi wa Taifa or What?

    Le mutuz t was 80% - 20% sababu ya elimu . .now is 2013 hesabu vyuo hesabu shule the more ccm wil educate us th mo we wil knw th truth. .ccm hawakuruhusu upinzani kwa huruma kama umesoma CONDITIONS WORLD BANK NA IMF <SAP> . . .hope u did. . .kuhusu la mke wa sugu ni jambo la mtu binafsi, mbona...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Sababu za AGUSTINO MREMA (TLP) kubaki kwenye vikao vya bunge wakati wapinzan wengine wakitoka

    Ma shushushu ni watu wenye akili sana na they are not alone sio kua nilikua cjui ninachoki type 4 what i blv is mrema alii establish t.l.p akiwa nccr mageuzi ili kuwagawa wafuasi wa nccr na watakao mfuata t.l.p.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Sababu za AGUSTINO MREMA (TLP) kubaki kwenye vikao vya bunge wakati wapinzan wengine wakitoka

    Mapema leo bungeni mh. mkosamali NCCR Mageuzi akitoa hoja amefurahisha wengi baada ya kusema mh. Mrema anajipendekeza kwa CCM kwa kubaki bungeni wakati wapinzani wenzie wametoka ili alipwe fedha zake za pensheni. Wengi tunafahamu Mrema alikua waziri na mpaka kufikia cheo cha naibu waziri mkuu...
  5. C

    JamiiForums Tanzania PICHA: Yaliyojiri Bungeni - Sugu akiburuzwa ili atoke nje ya bunge!

    ndugai ndo sio mstaarabu kama uli check bunge alikua akimuelekeza afisa usalama a deal na sugu .wewe hujiulizi kama amri ilikua ni kumtoa mbowe kwanin sugu ndo alitolewa kwa nguvu. . .hii ilikua ni kulipa kisasi baada ya kushindwa kesi ya upumbavu wa pm
  6. C

    JamiiForums Tanzania PICHA: Yaliyojiri Bungeni - Sugu akiburuzwa ili atoke nje ya bunge!

    Kama huku mtaani umeshawahi ku pata harassment kutoka kwa polisi hakika utamuunga mkono mh. Joseph mbilinyi, tofauti na nchi nyingine polisi wa tanzania wamekua most brutal. Kama ingekua ni tz waandamanaji kuzunguka bungeni na kumwaga nguruwe na damu bungeni kama kenya ffu wote wangehamia eneo...
  7. C

    JamiiForums Tanzania CUF + NCCR + CHADEMA = Tanzania tunayo ihitaji

    Kwa VIONGOZI CHADEMA. .Haya ni maoni yangu binafsi naomba yawafikie viongozi wa chama. Wenzetu wa cuf na nccr mageuzi wamekua pamoja nasi jana na juzi bungeni wakitusupport na hata kumlinda kiongozi wa upinzani bungeni mh.mbowe, hii imetuonyesha wapinzani ni wapi na ccm b ni wapi <t.l.p> hivyo...
  8. C

    JamiiForums Tanzania MSAADA..,nimechaguliwa BBA in accounting with education nataka kubadili.

    Ni pm namba zako za simu na unapoishi. . .
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kitabia, huyu Sugu hatuwakilishi watu wa Mbeya , anatutia aibu!!

    Unakidhibitisho gani kua sugu alifanya vurugu. . .kama uliangalia bunge job ndugai alikua akimuelekeza kwa kidole afisa usalama kumtoa nje sugu. .ndo mana akangangania meza na kutoka na mic. .na kumfanyia hvyo sugu c kumdhalilisha sugu ila wabunge wote . . .tusubiri tuko nao mitaani waheshimiwa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe atolewa nje ya bunge

    Actualy jana hakukua na parliament fight sababu wabunge wa cdm hawakuanzisha vurugu ila walikua wanamlinda kiongozi wa upinzani, spika ndugai ndo akaamuru polisi waonyeshe upolisi wao baada ya polisi kuonekana wakiwapa heshima wabunge wa upinzani hapo ndipo naibu spika alipoonekana akimwelekeza...
  11. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msife moyo hata Mandela alidhalilishwa kama nyie

    Cuf , nccr big up
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe atolewa nje ya bunge

    hamad rashid, mbatia, cheyo. .walikuepo na je wamebaki?
  13. C

    JamiiForums Tanzania * Udom walishusha cutin point to 2.5 programe zipi?*

    Kama kunamtu anaweza eka link. .u cn do t
Back
Top Bottom