Recent content by chrisstz

  1. C

    Ufugaji wa sungura na njiwa wenye tija

    Mkuu salaamu! Pole na shughuli check na jamaa wanaitwa DILA AFRICA wana shughulika na ufugaji wa Sungura wa kisasa wastani wa kilo wa Sungura wao ni kilo nne hadi sita wana kuuzia na kukupa utalamu pamoja wa kukufunga hao Sungura wakifika wakati wa kuwauza wao wenyewe ndiyo wanunuaji last wiki...
  2. C

    Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

    Siyo kweli Mkuu Lipumba hana wafuasi wengi labda Slaa lakini hata ukiwachanganya wote wawili kura zao haziwezi kufikia nusu ya kura za LOWASSA huo ndiyo ukweli UKAWA kwa upande wa uraisi wameshinda hilo halina ubishi ila kwa vile yenye mamlaka ya kutangaza mshindi ni Tume hakuna namna ya...
  3. C

    Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

    Mkuu salaamu! Kabla ya kuanza kumkashi mtu fanya utafiti kwanza, Mbowe kazaliwa kwenye ukoo wa pesa baba yake walikuwa bega kwa bega na narehemu baba wa Taifa katika mipango ya kudai uhuru baba aliwaunnga mkono kwa kutoa sehemu ya pato kutoka kwenye familia yake ila mambo ya TANU yaende ndiyo...
  4. C

    Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

    Salaamu! naomba tuwe wakweli UKAWA tangu uanze mfumo wa vyama vingi safari wamepata mafanikio makubwa kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru wapinzani wanamiliki HALMASHAURI 20 ktk hizo Halimashauri majiji yote makubwa yapo ndani yake hivyo wanastahili pongezi ukizingatia uchaguzi haukuwa huru...
  5. C

    Huyu ndio Dr. Emmanuel Nchimbi ninayemfahamu

    Mkuu hakumlalamikia uteuzi wa Magufuli alikuwa analalamikia utaratibu ulitumika kuchuja wao ambao hawakuingia Tano bora ni jambo la kawaida kabisa kuhoja kama unaamini umeoneo mbona raisi mstaafu alivyokatwa 1995 nae alilalamika hivyo ni haki yake ya kikatiba. Uzuri wa Nchimbi hana jazba...
  6. C

    Habib Mchange unanifanya nisichukue kadi ya ACT-Wazalendo

    Wakuu salaamu! Huyu jamaa nilikuwa nadhani mie pekee nilikuwa sikubaliani nae kwa namna anavyowavamia CHADEMA kumbe tupo wengi, kwa muonekano wake tu ni wakishalishali walitoka CHADEMA kwa madai kuwa viongozi wa juu wanatamaa ya madaraka cha ajabu huko walipo ACT madaraka yote ya juu wamepeana...
  7. C

    Balozi Juma Mwapachu na ubinafsishaji wa mashirika ya umma!

    Mkuu salaamu! Anze na yeye mwenyewe aliye ghushi nyaraka za serikali na kuwauzia Mdogo wake na Kimada wake Nyumba za serikali!!!
  8. C

    Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

    Kwanza arudishe nyumba za serikali alizowapa vimada wake na mdogo wake baada ya kughushi nyaraka za serikali akawafanya kama watumishi wa serikali wakati siyo kweli!!!!
  9. C

    Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

    kwa arudishe nyumba za serikali alizowapa vimada wake na mdogo wake baada Ya kughushi nyaraka za serikali na kuwafanya kama watumishi wa serikali wakati siyo kweli !!!
  10. C

    Magufuli anavyompigia kampeni Lowassa

    Ni ukweli usiopingika!!!! unakuta mgombea UDIWANI wa CCM anatumia hadi Milioni 5000 na WABUNGE nao ndiyo balaa hadi bilioni na ushee, ndiyo maaana dili haiziishi serikalini kwababu unakuta pesa nyingi wamekopa. Lakini yote haya yanasababishwa NA watanzania wenyewe kwa kutojielewa.
  11. C

    Kinana acharuka: Adai kampuni ni yake lakini meno ya Tembo si yake!

    Kesi ya mfanyakazi wake wa kizungu aliyekamatwa na nyala mwaka Jana imeishia wapi?
  12. C

    Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Wakumbuke pia kuchukua ushahidi wa EPA,ESCROW,MEREMETA,KIWILA,HASARA TUNAOINGIA WALIPA KODI KWA KULIPA MABILIONI KWENYE HOTEL ZAO KWA AJILI YA PANGO LA WATUMISHI WA SERIKALI WASIOKUWA NA NYUMBA BAAADA YA NYUMBA WANAZOTAKIWA KUKAA KUPOLWA NA WATAWALA,BUZWAGI,ATC,IPTL.PAP,SIMBA TRUST!
  13. C

    CCM acheni kujiaibisha, Hivi Wizi Serikali yenu ni Richmond tu? Watu wameita Bilioni hela ya mboga

    Mkuu hongera ila umesahau ZAIDI BILIONI 160 YA MISHAHARA HEWA KILA MWAKA, MICHANGO YA ELIMU YA MSINGI NA SECONDARI, WATOTO NA WAZEE KUKOSA DAWA KAMA SERIKALI INVYOJINADI BUNGENI NA GHARAMA YA KUWAWEKA MAWAZIRI NA WATUMISHI WA SERIKALI HOTELINI BAAADA YA NYUMBA KUKWAPULIWA!!!!!!!!!
  14. C

    Taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kumsindikiza Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais

    Nimemsikia Afande Kova kupitia ITV akipinga maandamano kuanzia Buguruni kwenye ofisi za CUF kwa sababu LOWASA ni mgombea wa CHADEMA SIYO WA CUF WALA NCCR, hivyo wanachojua maandamano yataanzia Kinondoni na kurudi Kinondoni na wapo tayari kwa ajili ya kutoa ulinzi WA kutosha! na akaongeza CCM...
  15. C

    Ukweli Kuhusu Prof. Lipumba huu hapa

    Wanajamvi salaamu! Lipumba mkwala wote kwa Serikali kumbe alikuwa anazuga ndiyo maaana CUF ina wabunge wawili tu bara. MTU mzima kaumbuka vibaya, live bila chenge anajifanya ustadhi kumbe anakamata pombe kama kawaida na usaliti kwa UKAWA!
Back
Top Bottom