Pole sana jamaa.Uyo rafiki yako mpo karibu kiasi gan maana kuna uwezekano kbs kuwa mkeo hapend ukaribu wenu so anataka kuwatenganisha na pengine kahisi ukaribu wenu una walakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana!ila usikate tamaa mshirikishe Mungu anaweza akatuliza kiu iliyoko ndani yako sijui ww ni wa imani gan lkn rejea hbr za yule mwanamke pale kisimani na Bw Yesu alikua na waume watano lkn kiu yake iliondokewa!Inawezekana kbs.Ushauri wangu mdogo ni huu kwanza nikupongeze kwa kutambua una...
Nyie endeleen na utoaji mimba tuu,ndio wale mnaokuja kutafuta watoto hampati mwisho mnaishia kulea midoli,jamani kumbe kweli ukisema unaua wapumbavu wote ili wasiwepo tena utajikuta umeua wengi sana?!!!!
Hapana shaka umeolewa nabjini na hao watoto unaoota umejijfungua ni watoto wa jini lililokuoa lkn furaha kubwa ni hii msaada upo tafuta mahali pa maombi ukaombewe ili utengwe na hilo jini
Kunena kwa lugha ni hali ya kujazwa Roho na ni mawasiliano kati ya mnenaji na Mungu, hapa hakuna anaeelewa labda uwe na karama ya kupambanua roho na pia ni faida kwa mnenaji maana inampiga cross shetan haelewi maombi yanalenga nn yaan hajui anapigwa kwa stail gani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.