Recent content by Chris Lukosi

  1. Chris Lukosi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Itumie mitandao ya kijamii vizuri iwe ajira kwako

    Ndugu zanguni Ni muda sasa sijapost humu kwani nimekua bize sana na kazi Nimekua nikiona na kusikia vijana wakilalamika sana kuhusu ajira. Napenda kuwajuza tu kua moja ya ajira ambazo huhitaji kutuma maombi wala elimu ni kuitumia mitandao ya kijamii kama ajira Mimi nadhani wengi mnanifahamu...
  2. Chris Lukosi

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi Mjini, Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) aaga dunia

    Pumzika kwa amani mzee Ndesamburo
  3. Chris Lukosi

    JamiiForums Tanzania TANZIA: William Malecela afiwa na mama yake mzazi

    Pole sana William
  4. Chris Lukosi

    JamiiForums Tanzania LEMA: Ni wakati gani Rais alipaswa kuchukua hatua?

    Heri ya Mlevi kuliko mbakaji Inasikitisha kuona wananchi wa Arusha wanaongozwa na mtu mwenye tuhuma za ubakaji na wizi wa magari
  5. Chris Lukosi

    JamiiForums Tanzania USA baby vs Uingereza baby!

    Niko hapa Watu mmepinda sana teh teh...
  6. Chris Lukosi

    JamiiForums Tanzania Watanzania waishio UK wampongeza Balozi Migiro na kumkaribisha Waziri Mkuu

    Hahahaha, asante mkuu kwa kunisaidia kuwajibu
  7. Chris Lukosi

    JamiiForums Tanzania Watanzania waishio UK wampongeza Balozi Migiro na kumkaribisha Waziri Mkuu

    Sikuweza kupata nafasi mkuu
  8. Chris Lukosi

    JamiiForums Tanzania Watanzania waishio UK wampongeza Balozi Migiro na kumkaribisha Waziri Mkuu

    Jumuia ya Watanzania waishio UK iliyo chini ya kamapati ya mpito inayoongozwa na Eng Dr Hingira wanapenda kutoa pongezi kwa Balozi Dr Asha Rose Migiro kwa kuchaguliwa kua Balozi wa Tanzania UK. Pia Watanzania hao waishio UK wanamkaribisha Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika ziara yake...
  9. Chris Lukosi

    JamiiForums Tanzania Mbowe akosoa Maagizo ya kamatakamata ya Magufuli

    Anakosoa yeye kama nani?
  10. Chris Lukosi

    JamiiForums Tanzania Hivi X Kaka Polisi Chris Lukosi yuko wapi?

    Habari zenu lakini?
  11. Chris Lukosi

    JamiiForums Tanzania Mapastor wa Africa waungana na Mapastor wa Tanzania kumuombea Rais Magufuli London

    Baada ya kufurahishwa na kasi yake na uchungu aliouonyesha kwa nchi yake, Mapastor mbali mbali wa Kiafrica walioko London wameamua kuungana na wale wa Kitanzania kufanya misa maalum kumuombea Mheshimwa Rais John Pombe Magufuli kwa Mwenyezi Mungu Nyote mnakaribishwa
  12. Chris Lukosi

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais chama cha Republican 2016 Marekani asema ana asili ya Tanzania

    Kama kweli, basi lazima tuwe proud Jamaa ni genius
  13. Chris Lukosi

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM!

    Pasco jaribu kuwa na nidhamu, matusi ya nini? Na waliosusa CCM na kuhamia chadema tuseme wana tabia gani?
Back
Top Bottom