Siyo kwamba wengi wetu tunasoma bila kujua nini hatima baada ya kupata cheti, nadhani hujafanya utafiti wa uhakika. Unafikiri watu wanaokula ugari na mlenda wanapenda, wanaopanda daladala wanapenda, omba omba wanapenda :kama una uwezo wa kujaji, jaji kwa uangalifu. Hivi hujui kuwa waweza andaa...