Recent content by Chozy

  1. Chozy

    Umati mikutano ya wadhamini wa Tundu Lissu inaitangaza Tanzania kimataifa, watalii njooni Tanzania hakuna corona

    JERRY, Naunga mkono hoja, Kama sio Raisi Magufuli kuongozwa na hekima ya MUNGU juu ya hili janga Tanzania ingekuwa habari nyingine; Naweza kuamini kuwa Magufuli aliletwa na Bwana Mungu wa majeshi kusudi atuvushe ktk hali Ngumu za majanga mbalimbali na yeye pekee ndiye aliyemteua kuweka Hekima...
  2. Chozy

    GE2020 Usijidanganye kutoa rushwa, unapotea na unapoteza pesa yako

    Vizuri sana, Huu michakato umekaa vyema kabisa. Tanzania mpya inakuja mdogomdogo tutafika
  3. Chozy

    Hiki kifaa cha mbao kama bawaba kinaitwaje na kazi yake ni nini hasa?

    Mmmmh! Tabu nyingine hii, ....... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Chozy

    Kuna kitu Rais Magufuli anajaribu kutufundisha lakini hatumuelewi

    Well Said! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Chozy

    Mo (copy cat) ashindwa kesi ya kuiga sabuni ya Wachina

    Rejea mada hapo juu, Brela husajili Kampuni kama zilivyotajwa hapo juu. Kinachozungumziwa hapo ni bidhaa zinazomwendea mlaji ambao ni ubunifu wa kampuni husika ili kuliteka soko. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Chozy

    ONYO: Bajaji za miguu minne kuziangamiza taxi na Uber za kawaida

    Unakosea kwa sababu bajaj ni brand name ya kampuni inayotengeneza hizo bidhaa na kuna utofauti wa matoleo kama unavodhani Vitz au IST hiyo ni brand ya Toyota labda ubuni jina lingine kama unalengo la kushushia hadhi hayo matoleo
  7. Chozy

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Unajua ufanyeje, print hizo picha afu tia ktk bahasha mtume mshenga siku hiyo ya kupeleka barua, ila ka kilo kao usisau katupie humohumo
  8. Chozy

    Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

    Namna nyingine, Kimsingi maisha tuishiyo yapo pande 2, a)Ulimwengu wa roho (Giza na Nuru) na b) Ulimwengu wa mwili. Jambo lolote ktk maisha tuishiyo chanzo chake huanza ktk roho ndipo hutimilika ktk mwili. Japo kuna baadhi ya mambo huishia ktk roho hayajidhihirishi ktk mwili kutokana na sababu...
  9. Chozy

    Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

    Yaaani! Nimejikuta nacheka, mbavu sina
  10. Chozy

    Hivi kuna dawa ya kuacha ushoga?

    Kiukweli kuna suala la imani hapo, japo wengi hupuuza na hawamini kwa hili; C jambo la kumlaumu ni vema familia pamoja na yeye kusimama ktk ukombozi wa kristo yesu kwa hakika minyororo alofungwa itakatika na kubaki huru ama kwa hakika ukimdodosa kisaikojia utangundua kuna chanzo na yeye hawez...
  11. Chozy

    Upasuaji wa kwanza wa kupandikiza kichwa(world's first human head transplant)

    Hicho kichwa cha kupandikiza kinatoka wap!?
  12. Chozy

    Kumbe mpenzi wake wa zamani hakufariki, amerudi na anataka warudiane!

    Pole sana ndugu, lkn inakubidi ujipe muda kuchunguza ukweli wa jambo hili, napata ukakasi kuendelea maana kuna maswali ya kuhoji hapo
  13. Chozy

    Kanitafutia kazi sasa nimekuwa mtumwa wa ngono

    Napata ukakasi nikifikiria suala la ndoa, duh! kwahiyo.......
  14. Chozy

    Majanga yaliyonikuta kwa kutokunywa maji mengi, usiombe yakukute

    Asante kwa kutukumbusha, Ubarikiwe sana
Back
Top Bottom