Recent content by chotibalula

  1. chotibalula

    Kwanini Mtandao wa TIGO unakula Data kwa kasi sana?

    Yaani ni wezi hatar.....yaani ni shida
  2. chotibalula

    Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

    Rubith!.....sijaona barabara ya Ipogolo -Kilolo ambao ndio source chakula mkoa wa Iringa nzima
  3. chotibalula

    Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

    Hiyo mifumo inaghalimu shi ngap ambyo sisi kama Nchi tusingeweza!
  4. chotibalula

    Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

    Hutuwezi kumpa Ubunge mtu ati kisa anatoa maziwa shuleni!...huo ujinga peleka huko....Sisi tutampa Ubunge mtu ambaye atakuja plans za namna ya kutengeneza ajira kwa wana Iringa iwe through kuboresha kilimo au kufufua viwanda hatujui....kinachotakiwa ni availability ya ajira, afya na elimu...
  5. chotibalula

    Huko Kenya moto si wa kitoto

    What is way forward is there is no politician in Africa!.....stop blaming.....at least there are trying
  6. chotibalula

    Mbowe: Tozo ya benki, wafanyakazi wanakatwa kodi mara mbili, wanaotoza kodi wanaenda kununulia V8 ya milioni 450 au milioni 500

    Unaongea theory gan wewe!.....Unataka Mbowe afanye nini ili umwamini.....Alichongew ni issue ya kwamba watu muamke mdai haki yenu....sasa kusema humwamini mpizani inatoka wapi!.
  7. chotibalula

    Jumaa Aweso, Hussein Bashe, Innocent Bashungwa nyota zinang'ara

    Porojo....mwezio ukimwona site ujue anaingiza posho kwa kila siku
  8. chotibalula

    Mmeshimiwa Rais iangalie upya wizara ya fedha kabla jahazi halijazama kabisa

    Wewe ni Mtalaam kwelikweli...nimekukubali.
  9. chotibalula

    Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

    Hauna uelewa juu ya hili daraja: SIYO DARAJA LA KWENDA BUSISI,ni daraja la busisi....ilinaunganisha mikoa ya mwanza, Kagera pamoja na nchi jirani.....uwe unaelewa kwanza.
  10. chotibalula

    Orodha ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu Uhuru

    Acha kukurupuka....hujaona wahehe hapo
  11. chotibalula

    Karugendo aonya: Acheni kumchafua Bashiru

    But amesema fedha za miradi.....siyo matukizi mengine mfano matumizi ya kwenda kununua vifaa.....kwa hiyo nadhani hapo hata kama fedha ilitoka lakin ilikuwa siyo mradi means hakuna lolote.
  12. chotibalula

    Ufafanuzi: Kuvunjwa Halmashauri ya Jiji la Dar kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Jiji

    umeanza vinzuri kabisa....but mwishoni ukaharibu..pale uliposema "jiji la dar ni sehemu yote ya Ilala tu". Hii siyo kweli kabisa...Kama ulivyosema wewe mwenyewe kuwa hadhi ya juu kabisa ya halmashauri ni jiji...na kwa kuwa Ilala ndio iliyopqndishwa hadhi na kuwa jiji, maana yake jiji hilo ambalo...
Back
Top Bottom