Recent content by chorobinsky

  1. C

    Ni nani aliyemjua Mwalimu huyu wa Michezo Aza Boy kuwa alikuwa Jasusi(kachero)refa wa mchezo wa Ngumi?

    MWL Hatia alikuwa anapiga punki flan na afro kichwani acha kabisa.alikuwa akitembea kama anachechemea hivi. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    Ajibu aigomea TP Mazembe Sasa kuelekia Simba SC

    Yupo wapi kiungo fundi na matata wa kiganda?.Patricky Ochang' waliosajiliwa pamoja na sammata kutoka simba kwenda TP Mazembe.Kuna kipindi Mazembe wachezaji wengi waliopita hapo walikuwa wakilalamika kuwa imekuwa na desturi ya kubania wachezaji wanapopata deal la kwenda kwenye team za ulaya...
  3. C

    Je, wachezaji wote wa Tanzania waliosajiliwa timu za nje wanastahili kuitwa katika kikosi cha Taifa Star?

    Hachezi kwa sababu alikuwa majeruhi ,sio kwa sababu ahaminiki na kocha.
  4. C

    Anaestahili ni nani!!!!!

    Triple C
  5. C

    Serikali ilimpenda, ilimchukia au ilimuogopa Reginald Mengi?

    Ata mimi nakitafuta mkuu utakapo kipata utanitag.
  6. C

    Kwa nilichoambiwa na ' Mpemba ' wangu juu ya mtanange wa leo wa Simba SC na TP Mazembe acheni nibaki nacho tu Moyoni

    Binafsi mimi namkubali sana Gentamycine japo huwa sio mpenzi wa ku-coment sana post nyingi humu JF. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. C

    Kwa nilichoambiwa na ' Mpemba ' wangu juu ya mtanange wa leo wa Simba SC na TP Mazembe acheni nibaki nacho tu Moyoni

    SHIKAMOOO Genta na Mpemba wako Sent using Jamii Forums mobile app
  8. C

    Mnaojua vyema ' Saikolojia ' tusaidiane katika hili tafadhali

    Kuna abiria alijaribu kujikuna,Dereva akamwambia hajaribiwi,yeye sio kama yule Dereva mwingine aliyekuwa anachezewa chezewa tu,hivyo huyo abiria aliyejaribu kujikuna akaufyata kwa kuwa hakupata ushirikiano kutoka kwa abiria wengine.mwisho wa siku Dereva anazidi kuendesha gari kwa kujitanua tu...
  9. C

    Meya Boniface Jacob: Askari wa JWTZ wamepekua nyumbani kwangu na kuwaweka chini ya ulinzi bila kibali!

    Hukusoma vizuri na kuielewa hiyo Tweet ya Mayor.Mayor anasema amevamiwa na askari watatu wenye sare za JWTZ.Na hajasema amevamiwa na JWTZ.kwa hiyo wanaweza kuwa vibaka ila wamevalia mavazi ya namna hiyo.
  10. C

    Hadhi ya viongozi wastaafu ifutwe na badala yake watambulike kama raia wa kawaida tu

    Mkuu watakuwa wanaogopa kuonekana wana "washwawashwa".
  11. C

    Uchaguzi UVCCM, Mnaojiita Usalama wa Taifa Acheni kutumia jina la Rais Magufuli

    Kana ungejua, mtowa mada ungekaa tu kimya.
  12. C

    Tuache siasa kwenye elimu, tutambue hadhi ya walimu

    Adui wa mwl ni mwl mwenyewe. Sekta ya afya walifika huko baada ya akina ulimboka kutolewa meno yote ya sebuleni.wenzetu kenya walipachimbisha kwa mda wa miezi mitatu,wakafanikiwa,watanzania walithubutu tu mwaka 2010,kwa siku tatu baada ya baadhi ya wanachama wao kukosa tenda ya sensa kutokana na...
Back
Top Bottom