Tulilipa kamaka pesa lakini hawakutupa mzigo, na hawawezi kurudisha pesa cash Kwahiyo tunahitaji mtu yeyote mwenye interest ya kununua chochote kinachouzwa kamaka chenye thamani ya million 11 lakini tutampa price favor kidogo ili kumvutia

Habari wadau
Ninahitaji mteja wa uhakika wa mzigo wa nondo au saruji wa haraka kwa bei nzuri kidogo, nipo Dar, kuna mzigo umenunuliwa kimakosa unatakiwa kutoka upesi
Njoo nipe specifications za mzigo unaoutaka tufanye biashara haraka.
Give 5 years those places will be like this, Tanzania is unbeatable when it comes to real estate projects and construction in general, we don't rely on foreign developers like you, do you know 5 years ago this place was exactly like a remotely wild area...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.