Recent content by Chomx_active

  1. C

    Uchaguzi 2020 Maisha baada ya uchaguzi yameanza

    Imeisha hiyo na maisha yaendelee!
  2. C

    Msaaada kujua ofisi za Baraza la mitihani Tz

    Msaaada kujua kama ofisi za Baraza la mitihani Tz, je zimeamishiwa Dodoma au bado wapo Dar, nipo Arusha kwa hiyo nataka nijue wapi kwa kwenda! Natanguliza shukrani
  3. C

    Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia haja kubwa. Je, ni tatizo gani hili?

    Poleni na majukumu madaktari, kuna mtu alipoenda chooni asubuhi alipata choo kilichoambatana na damu lakini choo ni kilaini na hili tatizö limemtokea leo sio la mara kwa mara, na yeye ana mazoea ya Kula mboga za majani na Matunda, je tatizo linaweza kuwa ni nini na madhara yake ni yepi?
  4. C

    Tatizo la mtoto mchanga kukosa choo

    Nina mtoto wa wiki tano na siku 4 anasumbuliwa na tatizo la kukosa choo leo ni siku ya 14 hajapata , na hiyo mara ya mwisho kupata choo na penyewe alikaa siku 11 bila kupata choo ndipo akapata ,Naombeni msaada wa mawazo na nini cha kufanya kuhusu hili suala doctors!
Back
Top Bottom