Tatizo la mtoto mchanga kukosa choo

Chomx_active

Member
Nov 27, 2015
9
8
Nina mtoto wa wiki tano na siku 4 anasumbuliwa na tatizo la kukosa choo leo ni siku ya 14 hajapata , na hiyo mara ya mwisho kupata choo na penyewe alikaa siku 11 bila kupata choo ndipo akapata ,Naombeni msaada wa mawazo na nini cha kufanya kuhusu hili suala doctors!
 
Kwa tatizo hilo nenda kamuone doctor kwa ushauri zaidi kwa sababu bado mtoto hajaanza hata kula angekuwa na umri wa kula ninhekushauri umpe matunda fulani ili kupata choo.
 
Nina mtoto wa wiki tano na siku 4 anasumbuliwa na tatizo la kukosa choo leo ni siku ya 14 hajapata , na hiyo mara ya mwisho kupata choo na penyewe alikaa siku 11 bila kupata choo ndipo akapata ,Naombeni msaada wa mawazo na nini cha kufanya kuhusu hili suala doctors!
Tatizo hili ni kawaida sana kwa watoto, jitahidi sana ukaonane na daktari wa magonjwa ya watoto atakusaidia. Issue hiyo isikupe sana mashaka.
 
Ni kawaida kwa watoto wa 1-3 kukosa choo.

Kama hamna dalili ambatanishi nyinginezo.

Basi MAMA AENDELEE KUNYONYESHA VIZUR.

NAYEYE ALE ,ALE ALE VYAKULA ATENGENEZE MAZIWA YAKUTOSHA ILI MTOTO ANYONYE KILA AITAJIPO NA KWA KIWANGO TOSHELEZI.

ACHA KUMPA STRESS MKEO .
 
Back
Top Bottom