Recent content by Chomi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kutumbuliwa Dr. Mwele na kuhusishwa na Waziri Ummy

    Unayozungumza hapo bwana Dafi ni mambo ya kirasimu. Issue muhimu katika watu 533 waliofanyiwa uchunguzi je ni kweli 15.6% kati walionekana kuwa na virusi vya Zika au la. Na kama walitest positive, jibu ni kwamba zika ipo at large. Tusiweke price tag kwenye haki ya msingi ya kuishi
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Unaweza nitumia your contacts please tufanye biashara
  3. C

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku niliposhuhudia rafiki yangu akimezwa na chatu

    Mtoa taarifa anasema 'alipoteza fahamu kwa muda' angempigaje chatu akiwa hana fahamu?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kumbe kitunguu saumu kinalipa hivi

    Naomba breakdown ya cost kwa eka ya kuandaa shamba la vitinguu swaumu poa ni mida gani tangu kupanda hadi kuvuna
  5. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Namba yangu ni 0655881133, ninahitaji haraka iwezekanavyo kilo 250
Back
Top Bottom