Pia dini ni hatari na sumu mbaya sana kwa maisha ya binadamu. 80% ya changamoto za maisha ya watu katika dunia hii inachangiwa na uongo na upotofu wa mafunzo ya dini.
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Daktari yeyote mwenye uelewa na utaalam juu ya tatizo hilo. Mimi sio daktari ninachohitaji ni maelezo, ufafanuzi na ushauri wa madaktari au wataalam wenye uelewa juu ya tatizo hilo. Nahitaji kuona huyu mtoto anasaidiwa.
Nilikuwa kijijini, nimeitembelea familia moja huko kijijini na kumkuta huyu mtoto akiwa na tatizo la nywele kuisha anabaki na vipara kama amenyolewa na wembe. Picha inaelezea zaidi, naomba muitazame vizuri.
Naomba kuelimishwa juu ya ugonjwa/tatizo hilo na tiba yake. Ninataka kumsaidia huyu mtoto...
Unauhakika kuwa yesu aliwahi kuwepo duniani na si imaginary figure!? Una uhakika yesu ndiye mwanzilishi wa ukristo duniani!? Unafahamu mini juu ya uyahudi, ukristo na uislamu!? Unaweza kunichambulia kwa kina ufanano na utofauti wa imani/dini hizo kwa kuzingatia historia na misingi mikuu ya imani...
Wewe ni muongo sana. Lakini I do appreciate your talents! Ni mtunzi mzuri na unauelewa mpana sana wa mambo. Nakushauri achana na huu utunzi wa kutafuta mashabiki au followers. Tumia vipaji na uelewa wako kuelimisha jamii. Jamii bado inahitaji elimu aliyokuwa anaitoa marehemu Munga Tehenani wa...
Umenifurahisha! Na ulitaka kupatia kidogo.
Japo Bible imeandikwa kuwa walikula tunda la kati lakini haikumaanisha hivyo! Ukweli ni huu naombeni muelewe:-
1.Mungu aliwaumba Adam na Hawa wakiwa na Umri gani?
Bible haiko wazi na wengi hawjiulizi hilo, hivyo kuwafanya washindwe kuelewa juu ya hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.