Recent content by chofachogenda

  1. C

    Kiwanja kinauzwa Tegeta A

    Kiwanja kina ukubwa wa 20 kwa 20 (400 sqm) kuna vyumba viwili ambavyo vimekamilika na mwenyewe anaishi hapo . Unapanda bajaji za kwenda kwa madawa (kituo cha kushukia ni kwa madawa) sio mbali kutoka hapo na kiwanja kilipo. Bei ya kiwanja ni shilingi milioni 13 . Mawasiliano 0716694624/0685084315
  2. C

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Naomba uione hii Arsis
  3. C

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Kwako arsis kupitia kwa simba nina rafiki yangu ambaye anataabika na maradhi kwa muda mrefu amekuwa mtu wa kulazwa hospital akitoka hata wiki alazwa tena hospital. Na kikubwa kwamba ugonjwa wake kila daktari anakuja na majibu yake mara ngiri, mara ana uvimbe kwenye ini mara anavidonda vya tumbo...
  4. C

    House4Sale Nyumba inauzwa Manzese Tiptop

    Ni kubwa lakini hailipi
  5. C

    House4Sale Nyumba inauzwa Manzese Tiptop

    Kuanzia kwenye genge mpa Eneo kuanzia kwenye genge mpaka mbele ya huo ukuta
  6. C

    House4Sale Nyumba inauzwa Manzese Tiptop

    Nyumba inauzwa (lakini ni muhimu zaidi ukiwa unanunua kama kiwanja ukubwa wa eneo 20 kwa 25 sqr 450. Umbali kutoka manzese tiptop stand ni km 1. Kwa unayeijua Manzese hii sehemu ni potential kibiashara gari linafika mpaka sehemu husika ni kuna barabara ya mtaaa hata nyumba ya makazi .Bei ya hiyo...
  7. C

    Plot4Sale Viwanja bei rahisi Mbezi

    Mbezi ya morogoro road ukifika unapanda bajaji za mzalendo sh 1000
  8. C

    Plot4Sale Viwanja bei rahisi Mbezi

    Pata viwanja eneo la mbezi mzalendo kuanzia 10 kwa 10 sq meter 100 kwa shilingi mil 1 na laki 2. Pia kuna eneo lingine lina ukubwa wa 10 kwa 10 tofali 500 na nondo 10 kwa shilingi mil 2 na laki 5 maeneo yote yanafikika kwa gari yapo karibu na barabara za mtaa. Ukihitaji ukubwa wa aina yoyote...
  9. C

    Car4Sale Hiace ya abiria inauzwa

    Hiace inauzwa milion 17 njoo na fundi wako ukague Engine 3L standard ipo katika hali nzuri inafanya kazi. Gari bado ipo kwenye hali nzuri. Kwa mawasiliano zaidi na maulizo piga 0735266326. Haina udalali kila kitu kipo safi. 0735266326
  10. C

    Msaada simu yangu imekataa kufungua app zote za Google

    Mara nyingi simu ambazo zinatumiwa Chinayaani special kwa watu wake kule app zote za Google zinagoma kuanzia, Gmail, you tube n.k ila nadhani ukienda kariakoo Kuna mafundi wanaweza kukusaidia kuirudisha katika ya hapa kwetu
  11. C

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbezi

    Pata viwanja kwa bei nafuu eneo la Kibaha madafu na mbezi mzalendo njia ya malamba. Eneo lenye urefu wa 56 meter kwa 43 na mapana ya meter 19 umbali wa dakika 20 kwa miguu toka morogoro road. Kwa bei ya shilingi milioni mbili na laki tano tu . Vilevile Kuna eneo lingine hapo happy Lina urefu wa...
  12. C

    YouTube yafuta Video Milioni 1 zinazopotosha kuhusu COVID-19

    Je hiyo ndio demokrasia wanayotuhubiria huku ilihali wao wenyewe hawataki mawazo mbadala
  13. C

    Rais Samia na wanasoka wa kike, ukweli utatuweka huru

    Katika hili namuunga mkono mamam wachezaji wa kike wa mpira sio Tanzania tu karibia afrika nzima wanajiweka muonekno fylani hivi wa kidume dume wakati wenzao wa mabara mengine licha ya kuwa na vipaji zaidi lakini bado wameacha haiba yao ya kike ionekane.
Back
Top Bottom