Labda mtuambie, mna hofu gani juu ya Lowasa? Hatujiamini kwenye sanduku la kura kuanzia Chamani kwake? Kwa nini kila siku Lowasa? Miaka ile ya misuguano ya kidini nchini mwetu, niliipenda sana kauli ya Kiongozi mmoja wa juu wa moja ya dini kubwa, alisema "badala ya kutumia muda wetu kufundisha...
wa Miavuli', kawagawieni kila mkoa 1bn (bila shaka vijana mlizipata), na maamuzi mengine meeengi ya ajabu ajabu! Leo mnashangaa na kulalamika wkt mnajua hajawahi kufanyiwa upasuaji wa kubadilisha ubongo? Kila mchuma janga hula na nduguze vijana wa Tz.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.