Yale yale🤣..mtu kujieleza bila kutumia matusi wala maneno ya kashifa haiwezekani. Hayo ni mawazo yangu na hakuna aliyelazimishwa kukubaliana na mimi fazili.
Swala sio kujieleza..approach ni tatizo..kuna ushabiki unaochochea violence..Kila kitu ni violence! Kuna njia nyingi za kujieleza bila kuinstigate violence. Kujieleza hakuhitaji ukorofi, uvunjifu wa amani wala vurugu.
Kama mtu yeyote anajiita kiongozi, au anataka uongozi tena utakuta ni...
Kuna dhana potofu ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekuwa wakiwaaminisha Watanzania eti hakuna uhuru wa habari na vyombo vya habari vimeminywa. Dhana hiyo imekuwa ikiwashangaza hata waandishi wa habari wenyewe kwani hawajaona kuminywa huko kwani wamekuwa wakifanya kazi...
Sijaona kama imenichubua au kunifanya kuwa mweupe. Kuna ambazo nimesikia ni kali kama ile ya papai unatakata. Nilishauriwa kwa ngozi yangu nitumie ya ukwaju. Ile sabuni inaondoa chunusi kabisa na binafsi imenipa matokeo mazuri. Ila sasa baada ya chunusi kuisha unastop kutumia. Nilishauriwa...
JINSI YA KUONDOA CHUNUSI USONI KWA KWA HARAKA ZAIDI.
Na:Mr tibalishe
Chunusi ni vipele vinavyojitokeza katika ngozi hususan sehemu za usoni, kifuani na mgongoni kutokana na mafuta kushindwa kutoka kwenda nje ya mwili (juu ya ngozi ya nje). Huweza kutokea kwa mtu yeyote aliyepevuka kimwili...
Na mimi nilipata chunusi sana. Ngozi yangu sio nyeupe labda nishauri tu jaribu kutumia sabuni ya ASANTEE (Tamarind & Honey). Unaosha uso (usiache povu-unanawia tu) pia unaweza ukaogea mwili mzima. Tumia mara mbili kwa siku ukiamua kuogea mwili mzima. Binafsi nimeanza kuitumia kwa wiki sasa...
Kwanza kabisa hongera sana, kiukweli unaijua biashara vizuri..na una customer service nzuri.kwa hio character utafika mbali sana..Mungu akubariki..
Nimefuatilia huu uzi muda mrefu sana (ingawaje nimechelewa maana ni wa toka mwaka jana)..ila naomba msaada wa majibu Renyo Msuya..
1)inakuwaje gari...
My point is ..sikubaliani na idea yako kuwa “women dont need sex”
Madawa ya ajabu ajabu zinapata kiki coz men are convinced kuwa size matters to women (kuclimax and pleasure)..
kusema women dont need sex itamaanisha mwanaume akiambiwa ana “KIBAMIA” isimatter..maana sasa kama sex ni for men basi...
LIES!!..mmoja anahitaji kuingia..mwingine anahitaji kuingiliwa(so sioni kama itakuwa sahihi kubase upande mmoja tu)..wanaojiuza wanafanya biashara (kwa ajili ya pesa tu..)..hakuna supply bila demand..hilo la kwanza..
Pili, siku hizi (na hata huko nyuma) unasikia wanaume wanahangaika nguvu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.