Recent content by chizabrain

  1. C

    JamiiForums Tanzania Bwana Mkubwa, acha kupoteza muda kujibizana na wanaokukosoa mara kwa mara

    Ushauli mzuri Sana,Kama bwana mkubwa atautekeleza. kwa maoni yangu akiwa anatoa hutuba awe anasoma hutuba sio kutoa kichwani nadhani itawezaa msaidiaa.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Serikali yaanza kuwalipa wakulima wa korosho. Tayari wakulima 2,348 walishaingiziwa fedha zao.

    Mkuu watumishi wakiweka indirect resistance tutakaaumiaa ni sisi watu wa Hali ya chini,Mambo yatalibika lakini bado tu ataendeleaa kutawala mpaka 2025 mungu akimjaliaa pumzi.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Dau la Taarifa za kupatikana kwa Ben Saanane!

    mimi pia ntachangiaa elfu 5
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nani mzalendo wa kweli kati ya Rais Magufuli na Tundu Lissu?

    jpm ni mzalendo kwa maneno lakini lisu ni mzalendooo kwa vitendo na maneno
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais ajae akisitisha ujenzi wa mji mpya wa kiserikali mkoani Dodoma kwa hoja kuwa ni gharama kubwa, nae tutamshangilia?

    ndo matatizo ya kutokuwaa na vipaumbele vya taifa Mkuu
  6. C

    JamiiForums Tanzania Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

    mkuu VP laptop ya bei ya chini kabsa shilingi ngap mkuu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Binti usilie ndo ukubwa huo

    hongera sana mkuu naona umetumiaa fasihi kufikisha ujumbe kwa hadhira
  8. C

    JamiiForums Tanzania Rais alisoma hotuba kwa kutumia kifaa kiitwacho TELEPROMPTER

    mkuu ata mm nilijua inamkinga na risasi nashukulu mleta Uzi kwa kunitoa ushamba
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Mgana Msindai atangaza kurejea rasmi CCM

    amerudi kwa kushawishiwa ajarudi kwa mapenzi yake
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mrema: Nilifanya biashara yenye faida na Magufuli

    yani mrema anamatatizo makubwa sana anashindwa kujua yupo sehemu gani na anatakiwa kuongea nini ni aibu sana kwa mtu mrema
  11. C

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya diploma

    mzumbe diploma ya law
  12. C

    JamiiForums Tanzania Application za vyuo (Diploma)

    am sure. but unataka kusoma diploma ya faculty gan mkuu
  13. C

    JamiiForums Tanzania Application za vyuo (Diploma)

    wiki ijayo mkuu. nacte watafungua tena dirisha la udahili
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tunaojua kabisa hatuwezi kusoma shahada

    Ruco mkuu
  15. C

    JamiiForums Tanzania TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    mm naona mtangazaji anatumikia ------ ili apate chake asije akavukuzwa kazi kama tido muhando
Back
Top Bottom