Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

Brandnew Iphone 6(s) plus with 64GB...rose gold color.

Price:1.6mil
#0654776976

6s plus with 16GB, price: 1.4mil
1471674514322.jpg
1471674528141.jpg
1471674540771.jpg
1471674550306.jpg
1471674577633.jpg
 
HTC Desire EYE zipo kwa bei pouwa tu.....
 
KWA KUWAJALI WATEJA WANGU NA KWA KUZINGATIA HALI YA UCHUMI ILIVYONGUMU KWA SASA VUNJA BEI MATELEPHONE NIMESHUSHA BEI YA SIMU:

Sasa utajipatia smartphones za kisasa, Originals tu kwa punguzo la zaidi ya 35%.

NJOO TUWEZESHANE: Ujipatie Simu kali yenye ubora na mie nipate kafaida kidogo maisha yaendelee.
Mzigo unaingia kutoka S.A kila week, Simu zote ni mpyaaa, Original 4G Lte na vifaa vyake, na ni Guaranteed. Ikitokea ikakusumbua unarudisha unabadilishiwa japo haijawahi tokea simu zetu kusumbua.

# bei zangu ni za chini kabsa kuliko popote pale Dar es Salaam, Pia simu ni original na mpyaa na accessories zake zote.

Mfn:
Sony xperia z3, 16GB@550k
Sony Xperia M4, USA version, 16GB @ 500k
Sony Xperia z5, 32GB @800k
Sony Xperia z5 Premium, 32GB @1.1mil

HTC One M8, 32GB @ 500k
HTC Desire Eye, 16GB @600k
HTC One M9, 32GB @700k

Huawei P8 lite, 16GB @ 400k
Huawei P8, 16GB @ 600k
Huawei P9 lite 32GB@650k
Huawei P9 64GB @ 1mil
Huawei Mate 7 32GB @600k
Huawei Mate 8 64GB @950k
Huawei Mate S 64GB @800k
Huawei G8 32GB @750k

LG G3 32GB @ 450k
LG flex 2, 16GB @600k
LG G4 styles, 16GB @650
LG G4 leather backcover, 32GB @650
LG G5 @950k

Iphone 6, 16GB @950k
iphone 6 plus, 16GB @1.2mil
iphone 6s 16GB @1.1mil
Iphone 6s, 64GB @1.4mil
Iphone 6s Plus, 16GB @ 1.4mil

Samsung S5, 16GB @450k
Samsung J5, 16GB @400k
Samsung A5, 16GB @450k
Samsung J7 16GB @500k
Samsung A7 16GB @600k

Samsung S6, 32GB @700k
Samsung S6 edge, 64GB @950k
Samsung S7, 32GB @1.1mil
Samsung S7 edge, 32GB@ 1.35mil
Samsung S6 edge plus, 32GB @1.2mil

Samsung Note 3, 32GB @ 500k
Samsung Note 4, 32GB @ 700k
Samsung Note 5, 32GB @ 1.1mil
.......etc.....
Hizo ni baadhi tu, kuna simu nyingi tofauti tofauti had za bei ya chini kabisa km Galaxy J2, Note 1, S4 na xperia z,
Pia nina TABLETS, laptops, PROJECTORS, original GLASS phone PROTECTORS, classic MOBILE CASES, covers, IPADS, original FAST CHARGERS na mobile BATTERIES.

[HASHTAG]#OFFICE[/HASHTAG] IPO Kariakoo karibu na Mataa ya Uhuru, kwa ajaye Dukani ukifika kariakoo piga namba 0654776976 utaelekezwa vizuri na kupokelewa .. Pia kwa Mteja wa hapa Dar es Salaam ukihitaji unaletewa hadi mlangoni ila kwa wale wa mikoani tunawatumia kwa basi.
Kwa mawasiliano na maelezo zaidi tumia 0654776976. Unaweza kubeep, kupiga, kutuma text au whatsapp. au wasiliana nami kupitia email: vieloon@gmail.com

1472801105601.jpg
1472801135863.jpg
1472801144414.jpg
1472801156603.jpg
1472801166453.jpg
1472801173944.jpg
1472801187663.jpg
1472801205363.jpg
1472801230634.jpg
1472801241263.jpg
1472801261133.jpg
1472801269033.jpg
1472801284993.jpg
1472801308623.jpg
1472801335383.jpg
1472801349333.jpg
1472801377213.jpg
1472801421333.jpg
1472801428803.jpg
1472801456433.jpg
 
KWA KUWAJALI WATEJA WANGU NA KWA KUZINGATIA HALI YA UCHUMI ILIVYONGUMU KWA SASA VUNJA BEI MATELEPHONE NIMESHUSHA BEI YA SIMU:

Sasa utajipatia smartphones za kisasa, Originals tu kwa punguzo la zaidi ya 35%.

NJOO TUWEZESHANE: Ujipatie Simu kali yenye ubora na mie nipate kafaida kidogo maisha yaendelee.
Mzigo unaingia kutoka S.A kila week, Simu zote ni mpyaaa, Original 4G Lte na vifaa vyake, na ni Guaranteed. Ikitokea ikakusumbua unarudisha unabadilishiwa japo haijawahi tokea simu zetu kusumbua.

# bei zangu ni za chini kabsa kuliko popote pale Dar es Salaam, Pia simu ni original na mpyaa na accessories zake zote.

Mfn:
Sony xperia z3, 16GB@550k
Sony Xperia M4, USA version, 16GB @ 500k
Sony Xperia z5, 32GB @800k
Sony Xperia z5 Premium, 32GB @1.1mil

HTC One M8, 32GB @ 500k
HTC Desire Eye, 16GB @600k
HTC One M9, 32GB @700k

Huawei P8 lite, 16GB @ 400k
Huawei P8, 16GB @ 600k
Huawei P9 lite 32GB@650k
Huawei P9 64GB @ 1mil
Huawei Mate 7 32GB @600k
Huawei Mate 8 64GB @950k
Huawei Mate S 64GB @800k
Huawei G8 32GB @750k

LG G3 32GB @ 450k
LG flex 2, 16GB @600k
LG G4 styles, 16GB @650
LG G4 leather backcover, 32GB @650
LG G5 @950k

Iphone 6, 16GB @950k
iphone 6 plus, 16GB @1.2mil
iphone 6s 16GB @1.1mil
Iphone 6s, 64GB @1.4mil
Iphone 6s Plus, 16GB @ 1.4mil

Samsung S5, 16GB @450k
Samsung J5, 16GB @400k
Samsung A5, 16GB @450k
Samsung J7 16GB @500k
Samsung A7 16GB @600k

Samsung S6, 32GB @700k
Samsung S6 edge, 64GB @950k
Samsung S7, 32GB @1.1mil
Samsung S7 edge, 32GB@ 1.35mil
Samsung S6 edge plus, 32GB @1.2mil

Samsung Note 3, 32GB @ 500k
Samsung Note 4, 32GB @ 700k
Samsung Note 5, 32GB @ 1.1mil
.......etc.....
Hizo ni baadhi tu, kuna simu nyingi tofauti tofauti had za bei ya chini kabisa km Galaxy J2, Note 1, S4 na xperia z,
Pia nina TABLETS, laptops, PROJECTORS, original GLASS phone PROTECTORS, classic MOBILE CASES, covers, IPADS, original FAST CHARGERS na mobile BATTERIES.

[HASHTAG]#OFFICE[/HASHTAG] IPO Kariakoo karibu na Mataa ya Uhuru, kwa ajaye Dukani ukifika kariakoo piga namba 0654776976 utaelekezwa vizuri na kupokelewa .. Pia kwa Mteja wa hapa Dar es Salaam ukihitaji unaletewa hadi mlangoni ila kwa wale wa mikoani tunawatumia kwa basi.
Kwa mawasiliano na maelezo zaidi tumia 0654776976. Unaweza kubeep, kupiga, kutuma text au whatsapp. au wasiliana nami kupitia email: vieloon@gmail.com

View attachment 392101View attachment 392103View attachment 392104View attachment 392105View attachment 392106View attachment 392107View attachment 392108View attachment 392109View attachment 392111View attachment 392112View attachment 392113View attachment 392114View attachment 392115View attachment 392116View attachment 392117View attachment 392118View attachment 392119View attachment 392120View attachment 392121View attachment 392123
Habari Wakuu, mzigo mpyaa umeingia. Pia Aksanteni sana wateja wangu hasa wa mikoani ambao tupo pamoja mpaka sasa, na mnaonisapoti Vunja Bei kwa kununua bidhaa zangu za smartphones na zaid kwa kuniunganisha na wateja wengine, nawashukuru saana....tupo pamoja! Pia ile offer ya glass protector imerudi tena, kwa wateja wangu wote watakaonunua cm kwangu msimu huu watajipatia glass protector au cover au vyote kwa pamoja bure kabsa.

Karibuni saana ndugu.
 
Kwa nini kwenye soko hakuna simu kama opo, shaomi na nyingi zilizo kwenye soko la ucgina
 
Mzigo wangu nakusanyia S.A na kule simu za kichina hazina soko..yaani brand nyingi za smartphones zisizoeleweka eleweka kutoka china hakuna SA,...hata tecno tu za Nigeria ni adim kule...hazina market kabsa...

Hata hivyo Plani yang ni kuwa mfanyabiashara wa smartphones za kisasa na zenye ubora tu...sio kuwa mfanyabiashara wa kila aina ya simu...hata km imeandikwa Zhungwai..No! Nataka niwe nauza mali zinazoeleweka tu na zinazohiti kwenye market.
 
Kaka nimependa sana msimamo uliojiwekea kuuza simu za brand hizo tu. Ni kitu kizuri sana na ningetamani wauzaji wa simu hizo watambulike hivyo. Keep it up kaka. Ila mm naulizia. Natumia Xperia Z3 dual, imevunjika grass yake ya nyuma pamoja na mfuniko wake wa sehemu ya kuchajia haupo naweza kupata housing yake!?
 
Mzigo wangu nakusanyia S.A na kule simu za kichina hazina soko..yaani brand nyingi za smartphones zisizoeleweka eleweka kutoka china hakuna SA,...hata tecno tu za Nigeria ni Adimu kule...hazina market kabsa...

Hata hivyo Planj yang ni kuwa mfanyabiashara wa smartphones za kisasa na zenye ubora tu...sio kuwa mfanyabiashara wa kila aina ya simu...hata km imeandikwa Zhungwai..No! Nataka niwe nauza mali zinazoeleweka tu na zinazohiti kwenye market.
Mkuu nahitaji samsang lakini iwe made by samsung and assembled by samsung..
Nete 7 unayo hiyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom