Recent content by CHIZA SAFARI

  1. CHIZA SAFARI

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nilifata hii sema nikaongeza kiburi, hela ya bia ikapatikana.
  2. CHIZA SAFARI

    JamiiForums Tanzania Mipango yangu: Miaka 10 ijayo nataka kuwa nina milioni mia tano benki

    Mwenyezi Mungu akubariki utimize malengo yako.
  3. CHIZA SAFARI

    JamiiForums Tanzania Hakuna biashara inafilisi kama uchimbaji wa madini

    Pole sana, vipi kwa babu hamkurudi tena?
  4. CHIZA SAFARI

    JamiiForums Tanzania Nani kamuelewa Mwigulu baada ya kuhojiwa na spika Tulia kupitia jibu hili?

    Kenge kajiuma umaaaa. Ajiuzuru tu.
  5. CHIZA SAFARI

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Mombasa Yatoa Ofa Kwa Mizigo ya Congo DRC na Kutishia Uhai wa Bandari ya Dar. TPA na Serikali mmejipangaje?

    Wacha Hustler atukimbize, sisi tumekomaa na mitozo na mighalama isiyo na maana.
  6. CHIZA SAFARI

    JamiiForums Tanzania Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Kwa akili ya kawaida kabisa hakuna haja ya kuagiza PCCB, ni maamuzi tu ya hapo hapo.
  7. CHIZA SAFARI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

    Sababu gani ilipelekea akatamka maneno hayo?
  8. CHIZA SAFARI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

    Ilikuaje Mzee Odinga akatamka maneno hayo?
  9. CHIZA SAFARI

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Simbachawene alimwa faini ya tsh. 250,000/=

    Kijana anaongea tu watu washaua na kupigwa faini ya 30k sema unaweza kwenda kutoa ghalama za mazishi tu kwa ndugu. Haya mambo yapo sana sema tozo na ujinga umetupofusha.
  10. CHIZA SAFARI

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Umeme utaendelea kukatika mpaka tumalize maboresho. TPSF wamshukia kama mwewe

    Hawa wase.nge wana kibri sana awamu hii ya tozo
  11. CHIZA SAFARI

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    I told you
  12. CHIZA SAFARI

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mpaka sasa upo kwenye right direction mzee
  13. CHIZA SAFARI

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii mechi ya Yanga kama una mtaji cheza double chance ya 1or 2
Back
Top Bottom