Recent content by Chiwa

  1. Chiwa

    JamiiForums Tanzania Je Askofu Alex Gehaz Malasusa anazo sifa hizi?

    :):):) viongozi wa KKKT ni wakuwaombea zaidi kwakuwa asili inasumbua kwao
  2. Chiwa

    JamiiForums Tanzania Kero za Muungano zimebadilika, What if Muungano ukavunjika?

    kama ni kwa damu hapana kwakweli iache iende
  3. Chiwa

    JamiiForums Tanzania Kero za Muungano zimebadilika, What if Muungano ukavunjika?

    awapi warudi tu kwao kwakweli
  4. Chiwa

    JamiiForums Tanzania Kero za Muungano zimebadilika, What if Muungano ukavunjika?

    tulipofikia tuuvunje tu kwakuwa unatutia hasara na hasira kubwa achilia maumivu ambayo jamii haitakaa isahau maisha yake yote. Wameshalilia wembe nafikiri tuwape Mapanga yatawafaa zaidi kwakuwa hawatajichanja tu kidole bali wataweza kukatana shingo nafikiri hii inafaa zaidi. Kwa bahati mbaya...
  5. Chiwa

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Miaka 25 Kuwa Baba wa Kambo wa Mtu wa Miaka 36, Inawezekana Kweli?

    Nchi ngumu sana hii kuzidi mkate kwenye chai
  6. Chiwa

    JamiiForums Tanzania Nahisi mume wangu ana watoto wa nje ya ndoa

    uzi unaenda kasi sana kwa majibu mafupimafupi
  7. Chiwa

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wazoefu, Niendelee kurudi nyumbani kula chakula cha mchana au nianze kununua chakula ?

    ikirudi mchana unakula na kula au unakula tu chakula?
  8. Chiwa

    JamiiForums Tanzania Kwa sifa hizi; Mabasi ya Shabiby Line Toleo Jipya ndiyo bora zaidi.

    wanakusikia ngoja wakutokee
  9. Chiwa

    JamiiForums Tanzania Kwa sifa hizi; Mabasi ya Shabiby Line Toleo Jipya ndiyo bora zaidi.

    bado hamjasema ngoja siku sio nyingi mwendawazimu mwingine atakuja kututandazia reli kusini iungane na hiyo ya huko ndo itakaa sawa.
  10. Chiwa

    JamiiForums Tanzania Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

    upaaji wa kishada ulishwa na uzi wake
  11. Chiwa

    JamiiForums Tanzania Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

    hata lisipokuwepo linaonekana linakuja inawezekana march tusitoboe
  12. Chiwa

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuachana na mke wangu

    Amina
  13. Chiwa

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuachana na mke wangu

    ni kweli na wao kiukweli wanashindwa kuzivunja kwa sababu zishakuwa taasisi (zinabeba maslahi ya wengi katika jamii) lakini ukiwabana vizuri wnakwambia hii inawezekana wanapeleka kibali kwa askofu maisha mengine yanaendelea.
  14. Chiwa

    JamiiForums Tanzania Kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana asubuhi halafu unajamba inatokana na nini?

    jaribu kunywa maji ya kutosha wakati mwingine kujamba ni dalili ya kuwa mwili hauna maji ya kutosha.
Back
Top Bottom