Recent content by Chiumbati

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kumbe lile daraja pale Kindondoni linaitwa Selander Bridge?

    Wengi wenu mnazungumzia NEW SELANDER BRIGE ambalo limejengwa mwaka 1982 kwa msaada wa Japan. Lakini pale pembeni pana daraja la mwanzo OLD SELANDER BRIGE ambalo lilijengwa mwaka 1929 na wakoloni wa Kiingereza na kupewa jina la huyo afisa JOHN SELANDER aliyefariki mwaka 1927. Wazo la ujenzi wa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya St. Francis Girls Mbeya na FEZA Girls Dar es Salaam?

    Msaada. Binti yangu amechaguliwa shule zote mbili, ipi shule bora na sababu na mapungufu Ahasante.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki fanyieni kazi hili; haiwezekani muda wa matangazo kuwa mrefu hivi

    Kanisa lipi? taja jina la Kanisa na Mahala lilipo ili ujumbe ufike usieleze jumla jumla. Kwa mfano, Kanisa letu la Mt. Yohane Mtume na Mwinjili Tegeta halina Matangazo mengi ya kufika muda huo unaosema wewe.
  4. C

    JamiiForums Tanzania UCL: Hatua ya Robo Fainali kuanza kupigwa leo

    Mwenye link ya Buyern aweke
  5. C

    JamiiForums Tanzania Udumavu kwa watoto chanzo cha wanafunzi kufeli mitihani Mkoa wa Mtwara

    Yeye amejuaje kuwa tatizo ni lishe. Anatakiwa aishie kuomba wataalamu kufanya utafiti wa chanzo cha tatizo, inawezekana lishe ni tatizo moja tu kati ya mengi.
Back
Top Bottom