Nenda duka la dawa nunua dawa inaitwa Azuma ile yenye mg 500 pata dozi, tatizo litaisha, mimi mwenyewe nimehangaika sana lakini baada ya kutumia hiyo dawa nimepona kabisa
Habari za kazi wadau,naombeni kusaidiwa kwa hili.Nimenunua mzigo ebay leo asubuhi kwa kutumia paypal,lakini baada ya muda kuingia tena kwenye akaunti yangu ya ebay,nimeshindwa tena kuingia.kila nikijaribu nakutana na neno YOUR ACCOUNT HAS BEEN SUSPENDED.Hivyo naombeni msaada namna ya kurudisha...
Naomba kujuzwa wadai kwa wale ambao tumekosa kuchaguliwa kwa awamu ya kwanza,kwa mfano awamu ya kwanza niliomba Udom,lakini pia kwa awamu ya pili nataka niombe tena hapo udom,Je kuna haja tena ya kulipiwa upya?au ile ada ya mwanzo ndo itatumika?
Yaani postal code ya mkoa wa mkoa wa mbeya ni 53000,pia paypal wanahitaji digit 6.Mimi nataka nikiagiza mzigo uje Mbeya,je nikiweka ya dar haitaleta shida?
Habari za kazi wadau,nilikuwa najisajili katika mtandao wa PAYPAL kwa ajili ya manunuzi mbalimbali lakini kuna kipengele cha kujaza postal code,nilivyojaribu kuweka postal code ya mkoa wa mbeya nilipo kwasasa kutoka orodha iliyopo kwenye website ya TCRA,hizo code zimegoma.Hivyo naomba msaada...
Wadau habari za kazi,
Naombeni msaada, nina binti yangu wa miaka 8 anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa. Akianza kuwashwa anajikuna sana,tumeisha enda baadhi ya hospitali lakini bado ufumbuzi haujapatikana.
Mara nyingi tumeambiwa ni mzio,na ametumia dawa lakini hajapata nafuu.Tatizo hili...
Mkuu mi laptop yangu ni Hp window 8,nimejaribu kuunganisha na printer HP laserjet p1000 and p1500 series,inagoma,nimetumia manual istallation lakini pia inasumbua.Naomba ushauri juu ya hilo tatizo.
Poleni na kazi wadau,
Naomba kujuzwa kati ya gari aina ya suzuki jimny na suzuki kei, ni ipi inafaa kwa safari ndefu pia perfomance ya injini kwa zote ikoje.
Ninatanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.