Recent content by chipundu

  1. C

    Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    hahaha! watu bwana hawataki ufisadi iwe maada ya kuzungumzwa kwa kuwa ikizungumzwa ni moja kwa moja wanahusika,, kazi IPO unaanzaje kuzuia kokohozi/
  2. C

    Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    eti ACT inaua upinzani? kwan upinzani ni kina nani? na nani hataki kushika dola? kwa akili zenu mnadhan wapoteze tu muda wao wote kuwapigia debe nyinyi sio? au mnadhan wao wanaigiza? halafu mnawaita wasaliti,, hahaha! kwel Kichwa cha kuku hakibebi mzigo/
  3. C

    Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    kuna mnachekesha sana,, mmapenda kusema ya wenzenu hata kama ni ya uongo,, yakisemwa ya kwenu hata ni ya ukwel mnajitahidi kwel kuyapuuzia,, hahaha! nimeamin ukweli unauma/
  4. C

    ACT-Wazalendo yavunja rekodi ya upinzani, majimbo yote yasimamisha wabunge na madiwani

    ACT ndo chama,, hao wengine hamna kitu,, hawana strategic plan,, toka 2010 hawajui hata rais watamsimamisha nani,, wana mipango kweli hao watu,, kama Lowasa asingekuja wasingesimamisha rais mwaka huu/
  5. C

    Zitto: Iundwe Tume huru ya kimahakama kulichunguza suala la Richmond

    sio kwamba escrow imesahaukija no! kinachoibgelewa saiv ni suala la Richmond kwa sababu watu wanatupiana mpira,, sasa anatakiwa muhusika ajulikane,, sasa atajulikana VP?, em tuambie nini kifanyike??
  6. C

    Zitto: Iundwe Tume huru ya kimahakama kulichunguza suala la Richmond

    humu ndani kuna watu hawataki kufikiria Lowasa kasema hajahusika nakubaliana na zitto iundwe time kama hajahusika ijulikane kahusika nani,, mnachobrem kwa zitto ni nn hapo? au chuki za kipumbavu zisizoleta maendeleo,, kwahyo kwakuwa muhusika yupo kwetu ndo hamtaki uchunguz ufanyike,, au sababu...
  7. C

    Mapigo matatu kwa Zitto Zuberi Kabwe, Bado pigo moja yatimie

    kwenye upungufu wa akili n mwendawazimu,, ila nwenye akili nyingi ni mwenda mwalimu,, kwa habari mbovu kama hii ilipaswa umweleze mwendawazimu ndo mtaelewana kwasabab hana muda wa kufikiria/ wenye muda wa kufikiri washashitukia mchezo mnaoufanya kushirikiana na CCM kuwageuza wananchi mitaji...
  8. C

    Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

    mtaimba ngonjera zote mwaka huu,, ma mtafurahi tu wenyew,, mwenyew akili timamu haambiw na kukariri ni lazima atafakari,, na mtamaliza porojo zote na adabu mtaipata,, TZZK ndo kiongozi bora TZ kwa sasa hao wengine hawana Sera kabisa/
  9. C

    Wakati CHADEMA Wanajenga, ACT wanabomoa

    nahisi mtoa maada umekurupuka hujatueleza kinachojengwa na kinaxhobomolewa n nini? na utuambie we unataka wafanyeje ili nao wajenge na wasibomoe kama ulivoeleza/
  10. C

    Jiulize, kwa nini wanaohamia ACT ni kutoka upinzani Tu?

    jifunze kauli mzuri laana unajua ww,, inawezekana ww ndo umelaaniwa,, usitake kumchagulia MTU marafiki,, kwan wanaohamia chama chako huko CCM wana miaka mingap? ndo waje kujua mapungufu ya CCM leo,, yaan walikuwa hawayaoni siku zote au kwakuwa huko wamekosa nafasi walizitaka,, nyie ndo mnawaona...
  11. C

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    uongo unapanda ghorofa kwa rifti na ukwel unapanda ghorofa kwa miguu lakin kuna siku ukweli nao utafika tu/
  12. C

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Ahh! utanijua tu c hamtakag kukosolewa/
  13. C

    Nikki wa pili habari nyingine, awapigapiga wanasiasa wanaohama hama vyama kwa hoja zisizo na mashiko

    siez kumchambua mimi sio mchambuzi,, ila yeye Nikki cjui kama n mchambuzi au anakaaga kwa style IPI,, ila kwa hoja zake bado hajanishawish kama kwel anaweza kuminterview mwana siasa/
Back
Top Bottom