Wakati CHADEMA Wanajenga, ACT wanabomoa

Wakati CHADEMA Wanajenga, ACT wanabomoa

Kama lowasa ni fisadi hata kikwete ni fisadi. Kujiuzulu kwa lowasa si kweli alikuwa fisadi ni uwajibikaji tu. Mbona Mwinyi alijiuzulu baadae akawa raid?
 
Naona wewe ulikuwa nje ya Tanzania,kama ulikuwa unaamini kama act ni chama cha upinzani,act ni mtoto wa ccm ili waubomoe upinzani

Ila wasilojua ni kuwa ni mtoto haramu ambaye mwisho wa siku anagundua kumbe hata kwenye orodha ya warithi hayupo.
Kama Nape kwa mzee Nnauye, yeye aliambulia jina tuu
 
Hivi kwani wanalazimishwa kwenda huko ACT??
Nauliza tu!!
 
nahisi mtoa maada umekurupuka hujatueleza kinachojengwa na kinaxhobomolewa n nini? na utuambie we unataka wafanyeje ili nao wajenge na wasibomoe kama ulivoeleza/
 
attachment.php

Duh! YAANI KIONGOZI WA WATU, MIONGONI MWA WATU, KWA AJILI YA WATU ANAKUBALI KUFANYIWA UPUUZI SAMPULI HII? KWAKWELI BADO KABISA TUNAHITAJI UKOMBOZI WA KIFIKRA!
hiyo style inaitwa KOMESHA CCM KAHAMA , huyo mzee wala hata hakujua kinachoendelea kashangaa tu yuko angani ! visokolokwinyo mmeumia sana , na bado !
 
Hivi kwani wanalazimishwa kwenda huko ACT??
Nauliza tu!!
Kuchimba shimo ni kazi na kulifukia ni kazi vile vile lakini ya kufukia ni rahisi.
Nami bado naangalia tambo zilizomtoa zzk cdm alafu naona watu ambao tunaaminin wana akili kama tulivyomwamini yeye wanamfuata, ndio nasema historia itatueleza ukweli huu!

Sasa ndio nimeamini Chama cha ACT ni mpini wa kudhoofisha upinzani.

Chadema imekuwa ikijijenga siku hadi siku na mpaka sasa inaendelea kupokea viongozi mbalimbali kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kibaya zaidi, wakati wakijenga chama, ACT wanabomoa.
Wanabomoa kivipi?
 
Sasa ndio nimeamini Chama cha ACT ni mpini wa kudhoofisha upinzani.

Chadema imekuwa ikijijenga siku hadi siku na mpaka sasa inaendelea kupokea viongozi mbalimbali kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Kibaya zaidi, wakati wakijenga chama, ACT wanabomoa.
what goes around comes around,CCM wanajenga CDM wanabomoa....n so on...
 
Sasa ndio nimeamini Chama cha ACT ni mpini wa kudhoofisha upinzani.

Chadema imekuwa ikijijenga siku hadi siku na mpaka sasa inaendelea kupokea viongozi mbalimbali kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kibaya zaidi, wakati wakijenga chama, ACT wanabomoa.
Wanabomoa kivipi?
 
attachment.php

Duh! YAANI KIONGOZI WA WATU, MIONGONI MWA WATU, KWA AJILI YA WATU ANAKUBALI KUFANYIWA UPUUZI SAMPULI HII? KWAKWELI BADO KABISA TUNAHITAJI UKOMBOZI WA KIFIKRA!
Hii hapa je? Acha wivu wa janamke shangingi la kizaramo wewe!!

avatar97603_4.gif
 
Back
Top Bottom