Mapigo matatu kwa Zitto Zuberi Kabwe, Bado pigo moja yatimie

Salaam JF

Haya ni maono yangu juu ya kiongozi mkuu wa chama cha ACT hayausiani na utabiri wala njozi yoyote. Mhe ZZK kama utasoma uzi huu yakupasa ufunge mkanda kubadili haya maono. Maono haya nimeyaweka katika dhana ya mapigo 3.
Mapigo hayo ni kama yafuatayo;

1. Kuanzishwa kwa UKAWA
Hili ni pigo lililofuta kabisa upepo wa ZZK kuhama na kuitikisa CDM. Wachambuzi wengi wa siasa akiwemo yeye mwenyewe ZZK waliamini kuhama/kufukuzwa kwa ZZK CDM kungeleta maafa makubwa ndani ya cdm, ni kweli ulitikisa cdm kwa muda mfupi lkn dhana ya UKAWA ilpokuja ilikufuta katika headlines za media zetu na huo ukawa mwanzo wa ZZK kusahaulika.

2. LOWASA kuhamia CDM/UKAWA
Mhe ZZK hili ni pigo ambalo hutakaa ulisahau katika maisha yako yote ya siasa. LOWASA ni tunda ulilokuwa unalisubiri muda mrefu liive ili ulimenye na kula uongeze afya ya chama chako cha ACT lkn kwa bahati mbaya mtoto wa mjini ambaye ni mwalimu wako wa siasa Freeman A. Mbowe amekupiga bao dk za mwisho wakati unasubiri tunda LOWASA lianguke uliokote, yeye kalipandia juu na kuliwai kulichuma. Amini amini nakuambia Hili pigo litakutesa na litazaa pigo la 3 litakalokufuta kabisa kwenye siasa. Ukiona Dr. Kitila Mkumbo akiwapongeza cdm kumchukua LOWASA ujue safari ya ikulu imekaribia

3. KUKOSA UBUNGE

Mhe ZZK omba Mungu Serukamba asibadili mawazo akaamua kugombea kupitia UKAWA, ubunge utabaki historia kwako. Naiona nguvu kubwa ya UKAWA ambayo hutaweza kuizuia kuchukua jimbo utakalogombea ama majimbo yote ya kigoma. Pia pole zangu zimwendee Mhe Machali naona safari hii ameamua kupishana na bahati ya Ubunge tutakumis sana bungeni.

USHAURI
Tafuta mashauriano na UKAWA ikiwezekana muombe radhi Mbowe akipokee chama chako ndani ya UKAWA. Nina imani mbowe yupo tayari kukusamehe na kukurudisha kundini kwani yeye ndiye aliyekutoa kisiasa.

Wenu
Jasho la damu

cc: Zitto

Laanauhuni ya madarakavitamtuhuni na uisiasaindumi kuwililuroho wvitamtafuna had kaburini
 
kwenye upungufu wa akili n mwendawazimu,, ila nwenye akili nyingi ni mwenda mwalimu,, kwa habari mbovu kama hii ilipaswa umweleze mwendawazimu ndo mtaelewana kwasabab hana muda wa kufikiria/ wenye muda wa kufikiri washashitukia mchezo mnaoufanya kushirikiana na CCM kuwageuza wananchi mitaji yenu,, SSA nawahakikishia mtaona ACT wanakavowapa shida tukutane 25/10/2015
 
Salaam JF

Haya ni maono yangu juu ya kiongozi mkuu wa chama cha ACT hayausiani na utabiri wala njozi yoyote. Mhe ZZK kama utasoma uzi huu yakupasa ufunge mkanda kubadili haya maono. Maono haya nimeyaweka katika dhana ya mapigo 3.
Mapigo hayo ni kama yafuatayo;

1. Kuanzishwa kwa UKAWA
Hili ni pigo lililofuta kabisa upepo wa ZZK kuhama na kuitikisa CDM. Wachambuzi wengi wa siasa akiwemo yeye mwenyewe ZZK waliamini kuhama/kufukuzwa kwa ZZK CDM kungeleta maafa makubwa ndani ya cdm, ni kweli ulitikisa cdm kwa muda mfupi lkn dhana ya UKAWA ilpokuja ilikufuta katika headlines za media zetu na huo ukawa mwanzo wa ZZK kusahaulika.

2. LOWASA kuhamia CDM/UKAWA
Mhe ZZK hili ni pigo ambalo hutakaa ulisahau katika maisha yako yote ya siasa. LOWASA ni tunda ulilokuwa unalisubiri muda mrefu liive ili ulimenye na kula uongeze afya ya chama chako cha ACT lkn kwa bahati mbaya mtoto wa mjini ambaye ni mwalimu wako wa siasa Freeman A. Mbowe amekupiga bao dk za mwisho wakati unasubiri tunda LOWASA lianguke uliokote, yeye kalipandia juu na kuliwai kulichuma. Amini amini nakuambia Hili pigo litakutesa na litazaa pigo la 3 litakalokufuta kabisa kwenye siasa. Ukiona Dr. Kitila Mkumbo akiwapongeza cdm kumchukua LOWASA ujue safari ya ikulu imekaribia

3. KUKOSA UBUNGE

Mhe ZZK omba Mungu Serukamba asibadili mawazo akaamua kugombea kupitia UKAWA, ubunge utabaki historia kwako. Naiona nguvu kubwa ya UKAWA ambayo hutaweza kuizuia kuchukua jimbo utakalogombea ama majimbo yote ya kigoma. Pia pole zangu zimwendee Mhe Machali naona safari hii ameamua kupishana na bahati ya Ubunge tutakumis sana bungeni.

USHAURI
Tafuta mashauriano na UKAWA ikiwezekana muombe radhi Mbowe akipokee chama chako ndani ya UKAWA. Nina imani mbowe yupo tayari kukusamehe na kukurudisha kundini kwani yeye ndiye aliyekutoa kisiasa.

Wenu
Jasho la damu

cc: Zitto

Hongera kwa uchambuzi, message sent hata kama mtajibu nyodo
 
Brother CDM ni chama kisichokuwa na misingi wala hakijui kinasimamia nini. Niwasaka tonge kama wenzao wa CCM. Lakini its better waCCM kwani tunawajua uovu wao kulikoCDM ambao hawatuwajui. Take this to the Bank, CDM/Lowassa hawatashinda uchaguzi huu. Mimi ambaye si mpiga kura safari hii napiga, tena nampigia mtu yoyote mradi si CDM/Lowassa. Inashangaza sana eti leo Lowassa ni mzuri kuliko ZZK? Kweli Mboye na baba mkwe wake amewabaka wengi huko CDM.

PeleKa uharo wako huko, kura yako haina thamani kwa Ukawa
 
kuna watu hakai mkatuliza akili Zitto anawasumbua.
Lowasa angeenda ACT pasingetosha humu hizo kelele.
Muacheni na ACT yao tena kwa wenye akili ya kutafakari kwa mapana wanaona kabisa kua Uzalendo upo ACT.
 
Jembe letu machali, kwnn uliingia kwenye contraversal party, chama ambacho hakina uhakika na maisha yake.
 
kwa kweli nachelea kukufananisha na mbwa.
mara mtuambie zitto alikuwa anafadhiliwa na Lowasa, sasa lowasa yuko chadema hamsemi tena.
siku zote mmekuwa mkiimba mafisadi akina lowasa halafu leo amekuwa mtakatifu.
then unakuja na pumba zingine hapa. na sisi ni walewale mnaotuambia. mnafikirir sisi ni mazuzu? wewe ni mpuuzi, nenda kawaambie na hao mbwa wenzako kuwa nao ni wapuuzi.

Salaam JF

Haya ni maono yangu juu ya kiongozi mkuu wa chama cha ACT hayausiani na utabiri wala njozi yoyote. Mhe ZZK kama utasoma uzi huu yakupasa ufunge mkanda kubadili haya maono. Maono haya nimeyaweka katika dhana ya mapigo 3.
Mapigo hayo ni kama yafuatayo;

1. Kuanzishwa kwa UKAWA
Hili ni pigo lililofuta kabisa upepo wa ZZK kuhama na kuitikisa CDM. Wachambuzi wengi wa siasa akiwemo yeye mwenyewe ZZK waliamini kuhama/kufukuzwa kwa ZZK CDM kungeleta maafa makubwa ndani ya cdm, ni kweli ulitikisa cdm kwa muda mfupi lkn dhana ya UKAWA ilpokuja ilikufuta katika headlines za media zetu na huo ukawa mwanzo wa ZZK kusahaulika.

2. LOWASA kuhamia CDM/UKAWA
Mhe ZZK hili ni pigo ambalo hutakaa ulisahau katika maisha yako yote ya siasa. LOWASA ni tunda ulilokuwa unalisubiri muda mrefu liive ili ulimenye na kula uongeze afya ya chama chako cha ACT lkn kwa bahati mbaya mtoto wa mjini ambaye ni mwalimu wako wa siasa Freeman A. Mbowe amekupiga bao dk za mwisho wakati unasubiri tunda LOWASA lianguke uliokote, yeye kalipandia juu na kuliwai kulichuma. Amini amini nakuambia Hili pigo litakutesa na litazaa pigo la 3 litakalokufuta kabisa kwenye siasa. Ukiona Dr. Kitila Mkumbo akiwapongeza cdm kumchukua LOWASA ujue safari ya ikulu imekaribia

3. KUKOSA UBUNGE

Mhe ZZK omba Mungu Serukamba asibadili mawazo akaamua kugombea kupitia UKAWA, ubunge utabaki historia kwako. Naiona nguvu kubwa ya UKAWA ambayo hutaweza kuizuia kuchukua jimbo utakalogombea ama majimbo yote ya kigoma. Pia pole zangu zimwendee Mhe Machali naona safari hii ameamua kupishana na bahati ya Ubunge tutakumis sana bungeni.

USHAURI
Tafuta mashauriano na UKAWA ikiwezekana muombe radhi Mbowe akipokee chama chako ndani ya UKAWA. Nina imani mbowe yupo tayari kukusamehe na kukurudisha kundini kwani yeye ndiye aliyekutoa kisiasa.

Wenu
Jasho la damu

cc: Zitto
 
kuna watu hakai mkatuliza akili Zitto anawasumbua.
Lowasa angeenda ACT pasingetosha humu hizo kelele.
Muacheni na ACT yao tena kwa wenye akili ya kutafakari kwa mapana wanaona kabisa kua Uzalendo upo ACT.

Hakuna cha uzalendo wowote zaidi ya unafiki
 
kwa kweli nachelea kukufananisha na mbwa.
mara mtuambie zitto alikuwa anafadhiliwa na Lowasa, sasa lowasa yuko chadema hamsemi tena.
siku zote mmekuwa mkiimba mafisadi akina lowasa halafu leo amekuwa mtakatifu.
then unakuja na pumba zingine hapa. na sisi ni walewale mnaotuambia. mnafikirir sisi ni mazuzu? wewe ni mpuuzi, nenda kawaambie na hao mbwa wenzako kuwa nao ni wapuuzi.

Mkuu matusi hayata kusaidia chochote,vilevile ujue hapa jamvini hatuna uadui kiasi cha kutukanana hadi kuitana mbwa,hapa tunapeana changamoto tu za kisiasa kindugu tu,labda husiwe ni mtanzania wewe
 
JF siku hizi imekuwa kama serikali ya TZ kila mtu ana ndevu anafanya analotaka na sheria haichukuliwi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom