Jiulize, kwa nini wanaohamia ACT ni kutoka upinzani Tu?

Jiulize, kwa nini wanaohamia ACT ni kutoka upinzani Tu?

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Nimejiuliza swali moja kubwa,Hivi ni kwanini wanachama ambao wanajiunga na ACT ni kutoka Chadema na Nccr?
Hivi ACT ilianzishwa kwa lengo la kupambana na vyama pinzania au Ccm?
Maswali haya ni madogo lakini ukiyatafakari kwa kina utajuwa wazi Zitto hana namna ya kubisha kwamba yeye si msaliti.
Na lazima Kabwe akubali madhumuni makubwa ya ACT ni kudhoofisha vyama vya upinzani na kuendelea kuipa ufalme CCM.
Kwa siasa za zitto na chama chake ni ishara ya laana kwa chama chao na watu wake.
 
Last edited by a moderator:
jifunze kauli mzuri laana unajua ww,, inawezekana ww ndo umelaaniwa,, usitake kumchagulia MTU marafiki,, kwan wanaohamia chama chako huko CCM wana miaka mingap? ndo waje kujua mapungufu ya CCM leo,, yaan walikuwa hawayaoni siku zote au kwakuwa huko wamekosa nafasi walizitaka,, nyie ndo mnawaona bora/ acha hzo ase,, masilah kwa wananchi ni bora zaid kuliko masilah ya chama,,
 
Tulieni awashughulikie kijana, yaani CDM wana double standards za hatari balaa, unawezaje ukamsafisha EL alafu ikija kwa ZK mkamwona mbaya na hasafishiki? mwacheni kijana afanye yake kwasababu mlimkaa wenyewe na kama akifanikiwa kujenga chama basi kwasababu hata CDM ilianza hivyo. Kwanini CDM haikujiunga na NCCR wakati ule kama kweli mlikuwa mnataka upinzani wa kweli na ukizingatia NCCR ndo ilikuwa na nguvu? vyama pinzani wote ni njaa tu na ndo maana wanaishia kuwa walafi na walaghai, leo wanakukataa alafu kesho wanakuosha wenyewe kwa jiki ..upuuzi wa kitoto sana uhuu.
 
Na mbona hijiulizi wanaohamia wote CDM mbona wote wanatokea CCM, na ni nyakati za uchaguzi tu
 
Wanahamia kutoka upinzani wanafuata wapinzani wenzao, waingereza wana msemo"birds of the same feather flock together"
 
Zitto amepoteza dira....

Katika patapotea aliyocheza Zitto ni hii ya kujiona yeye ni kama yeye na siyo chama

Zitto angefika mbali sana nchi hii lakini hiki DOA alilojipa yeye mwenyewe kamwe hakuna anayeweza kuliondoa
 
Last edited by a moderator:
Nataka tu unitajie hawa watu walitokea vyama gani
1. Profesa Abdala Safari
2.Tundu Lissu
3. Lwakatale
4. Godbless Lema
5. Benson Kigaila
6. Peter Msigwa
7. Mabere Marando
8.
 
Nataka tu unitajie hawa watu walitokea vyama gani
1. Profesa Abdala Safari
2.Tundu Lissu
3. Lwakatale
4. Godbless Lema
5. Benson Kigaila
6. Peter Msigwa
7. Mabere Marando
8.

8. John Shibuda
9. Arfi
10. Dr. Slaa

*** Nimekuongezea hayo ili kukuondolea hiyo dhamira yako ya hayo majina uliyoyaorodhesha
 
Tujihadhari sana na hili kabila la WAHA (From Kigoma) ni sawa na Tindikali ktk Afya ya siasa nchi Tz.

Alaumiwe alie wajengea Reli ya moja kwa moja kutoka Kigoma hadi Mwanza na Kigoma hadi Dar.
 
tujihadhari sana na hili kabila la waha (from kigoma) ni sawa na tindikali ktk afya ya siasa nchi tz.

Alaumiwe alie wajengea reli ya moja kwa moja kutoka kigoma hadi mwanza na kigoma hadi dar.
wachagga ni hatari zaidi, weka mbali kwa maendeleo ya taifa.
 
Nataka tu unitajie hawa watu walitokea vyama gani
1. Profesa Abdala Safari
2.Tundu Lissu
3. Lwakatale
4. Godbless Lema
5. Benson Kigaila
6. Peter Msigwa
7. Mabere Marando
8.
Huyu mleta mada anaumwa , msameheni bure, hajui kati ya vyama vichanga vya upinzani ni pamoja na CHADEMA. vyama kama UDP, NCCR, TLP, CUF vilikiwepo siku nyigi sana navilikuwa na nguvu sana na chama kilichoviua ni CHADEMA
 
Nimejiuliza swali moja kubwa,Hivi ni kwanini wanachama ambao wanajiunga na ACT ni kutoka Chadema na Nccr?
Hivi ACT ilianzishwa kwa lengo la kupambana na vyama pinzania au Ccm?
Maswali haya ni madogo lakini ukiyatafakari kwa kina utajuwa wazi Zitto hana namna ya kubisha kwamba yeye si msaliti.
Na lazima Kabwe akubali madhumuni makubwa ya ACT ni kudhoofisha vyama vya upinzani na kuendelea kuipa ufalme CCM.
Kwa siasa za zitto na chama chake ni ishara ya laana kwa chama chao na watu wake.
Hebu soma comment namba 10, 11 na 16. Bado utumbo wako huu unapaswa kuendelea kuwepo?
 
Tujihadhari sana na hili kabila la WAHA (From Kigoma) ni sawa na Tindikali ktk Afya ya siasa nchi Tz.

Alaumiwe alie wajengea Reli ya moja kwa moja kutoka Kigoma hadi Mwanza na Kigoma hadi Dar.

Vipi Kafulila sio MUHA?
 
Tujihadhari sana na hili kabila la WAHA (From Kigoma) ni sawa na Tindikali ktk Afya ya siasa nchi Tz.

Alaumiwe alie wajengea Reli ya moja kwa moja kutoka Kigoma hadi Mwanza na Kigoma hadi Dar.

wewe ni "K"-yaan Kamanda
 
Back
Top Bottom