NSSF mliniambia nisubiri miezi sita ili niweze kupata mafao yangu, miezi sita imefika , nimekamilisha kila kitu kujaza miform yenu, hatua ya mwisho mnaniambia nije baada ya miezi miwili kuulizia hundi, sababu eti sijafika miaka 55.
Sasa najiuliza ;
1. Hizi hela za kwenu?
2. Zinazid kukaa, je...