NSSF wananizungusha kulipa mafao yangu

NSSF wananizungusha kulipa mafao yangu

chipa

Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
8
Reaction score
3
NSSF mliniambia nisubiri miezi sita ili niweze kupata mafao yangu, miezi sita imefika , nimekamilisha kila kitu kujaza miform yenu, hatua ya mwisho mnaniambia nije baada ya miezi miwili kuulizia hundi, sababu eti sijafika miaka 55.

Sasa najiuliza ;
1. Hizi hela za kwenu?
2. Zinazid kukaa, je zinaongezeka?

Mmeniboa sana, hii haikubaliki hata kidogo
 
hapo ndio wanakuchinjia bahariniiii...

kuna sheria wanaisubiri bunge ipitishe... so wanakusogeza sogeza mbele ili wakutose kwa sheria mpya ikipitishwa
 
hapo ndio wanakuchinjia bahariniiii...

kuna sheria wanaisubiri bunge ipitishe... so wanakusogeza sogeza mbele ili wakutose kwa sheria mpya ikipitishwa

dah basi hakuna mana ya kuweka pesa kwenye huo mifuko hiyo, kama ukiwa kwenye hivi vikampuni vya wahind,mana mtu unawekeza ili ikifika siku unaacha au unaachishwa unajua namna gan ya kuendesha maisha
 
NSSF mliniambia nisubiri miezi sita ili niweze kupata mafao yangu, miezi sita imefika , nimekamilisha kila kitu kujaza miform yenu, hatua ya mwisho mnaniambia nije baada ya miezi miwili kuulizia hundi, sababu eti sijafika miaka 55.

Sasa najiuliza ;
1. Hizi hela za kwenu?
2. Zinazid kukaa, je zinaongezeka?

Mmeniboa sana, hii haikubaliki hata kidogo
Marekebisho ya sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii yanahusika mkuu. Usiwachukie nssf, wachukie wabunge wa JMT
 
Bado kuna watu mnafikiria kuna hela kwenye mifuko ya jamii,,!!
 
Mkiona tunaichukia Ccm msitudharau Ccm ni wa hovyo sana wanajua Watanzania wengi tunakufa kabla ya miaka 55 ndio maana wameweka kipengere hicho ili pesa zetu wale na wafanyie kampeni.sasa mtu kafukuzwa kwa Muhindi Nssf ana milioni 5 eti asubiri miaka 55 hiyo miaka 55 milioni 5 itakuwa haina thamani ya sasa.mkuu hapo omba Mungu achana na hizo hera hadi 55
 
Kwa dhumama kama hizi zinazofanyika chini ya hiyo serikali hakuna hata siku mtajinasua toka dunia ya tatu
 
Dah Pole sana mkuu, kumbuka kutupatia mrejesho baada ya hiyo miezi miwili.
 
Je baada ya miezi miwili utakuwa umefikisha miaka 55??
 
Mnafikiri hii NSSF ukiona unazungushwa sana jua fedha hakuna wamekopesha na zinafanyiwa biashara.
 
NSSF mliniambia nisubiri miezi sita ili niweze kupata mafao yangu, miezi sita imefika , nimekamilisha kila kitu kujaza miform yenu, hatua ya mwisho mnaniambia nije baada ya miezi miwili kuulizia hundi, sababu eti sijafika miaka 55.

Sasa najiuliza ;
1. Hizi hela za kwenu?
2. Zinazid kukaa, je zinaongezeka?

Mmeniboa sana, hii haikubaliki hata kidogo
Wakati wao walikuwa wanakata kila mwezi wao wanakuambia uje miezi minane pumbavu kabisaaa
 
NSSF mliniambia nisubiri miezi sita ili niweze kupata mafao yangu, miezi sita imefika , nimekamilisha kila kitu kujaza miform yenu, hatua ya mwisho mnaniambia nije baada ya miezi miwili kuulizia hundi, sababu eti sijafika miaka 55.

Sasa najiuliza ;
1. Hizi hela za kwenu?
2. Zinazid kukaa, je zinaongezeka?

Mmeniboa sana, hii haikubaliki hata kidogo
Tatizo la Sheria hiyo ni umagharibi zaidi. Tanzania tunaiga maana ya mafao kwa mujibu wa sheria za wenzetu wazungu, tunasahau kuwa life expectancy yenyewe tu ni mika 63, sasa hadi ufikishe 55 una miaka michche sana ya kula bata na mafao yako. Lakini Sheria hiyo ilipitishwa Bungeni waliokumbuka kuipinga ni wabunge wa CDM pekee, wa CCM waliiunga mkono. Jambo lingine ni Taasisi zenyewe ndio tatizo, wanapopeleka mapendekezo wanakuwa wanajifikiria wenyewe zaidi na si kufikiria madhara yanayoweza kumpata mfanyakazi wa mgodini au sekta binafsi ambaye haitaji kufanya kazi mpaka azeeke. Viongozi hao wanakuwa wameshiba na wanaishi maisha mazuri, hivyo kwao kusubiri miaka 55 si tatizo. Pamoja na kuwa wanaeleza maneno mazuri kuhusu sababu za kuweka sheria hiyo, mimi naamini bado imekaa kiulaya zaidi na haina mashiko kwa maisha yetu ya kitanzania.
 
si kila kitu ni ccm hao wakina zitto wanaokopeshwa mamilioni ni ccm tatizo wabunge wetu, vyama vya wafanyakazi wako weak
 
Kizunguzungu [emoji781][emoji781][emoji781][emoji781][emoji781][emoji781]
 
Nchi hii watanzania wamedhurumiwa sana na cha kusikitisha ni kwamba haohao waliodhurumiwa hawajitambui.
Yaani imefika pahala kila jambo analofanyiwa na watawala yeye uona ni hisani. Mtanzania hajui ipi haki yake,lipi jukumu la serikali,afanyiwe baya anasherehekea na akifanyiwa zuri anasheherekea.
 
Back
Top Bottom