Recent content by Chinsali

  1. Chinsali

    Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

    Uranium inasafirishwa na Lori ila mara nyingi Lori ubeba pipa chache maana ni nzito.
  2. Chinsali

    Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Ni sawa na neno tukuyu, jina Hilo lilitokana na mti wa mkuyu ambambo zamani ilikuwa sehemu ya kupumzika.watu walikuwa wakiacha kwenye shughuli zao wanaambiana tutakutana kwenye ule mkuyu sasa myakyusa kusema mkuyu alishindwa kutamka neno mkuyu ndio likatokea neno tukuyu.
  3. Chinsali

    Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Majina yote ya kilugha kwa wanyakyusa walitoa kutokana na tukio Fulani,mfano kuna ndugu yetu alipewa jina la tukhatele likiwa na maana tumechoka.alipewa jina Hilo kutokana na mama yake alikuwa akizaa watoto wanakufa,kwa hyo alivyozaliwa yeye wakasema wamechoka kuzika.mfano kyela kuna sehemu...
  4. Chinsali

    TANZIA Geita: Mwalimu wa Magufuli High School auawa kinyama na wasiojulikana

    Watu wa mkoa huo ni makatili sana sijui shida nini.
  5. Chinsali

    Vijana wa Dar es Salaam

    Usije kushawishika na maneno ya mtandao machimbo sio poa.
  6. Chinsali

    Mkopo wa Malori

    Hata mo anavitu hivyo.
  7. Chinsali

    Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Wanakuwa ni wapole,wanyenyekevu na watu wanaojua shida ya mtu.hata akifanya tukio watu wanadai amesingiziwa kumbe ni mtu hatari.miaka ya 2000 kuna jamaa alikuwa anaitwa jombii kama sikosei watu wa mbeya wanamfahamu ukimuona unaweza sema umekuta na pasta kumbe ni mtu hatari.
  8. Chinsali

    Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Kama movie ni the hard way,changamoto katika maisha haziepukiki.
  9. Chinsali

    Hii kitu imeniuma sana, nimebeba mifuko 70 ya Cement nimelipwa 1500

    Mkuu,amna gari inayoweza kubeba mifuko 5000 ya cement.gari ubeba mifuko mia sita ambayo ni tani 30.
  10. Chinsali

    Biashara ya Mayai inalipa sana

    Mkuu usikatishwe na watu wa mtandao,maisha yako ndio yatakayokufanya uingie mtaani na kupambana.katika maisha hakuna hela nyepesi lazima uitolee jasho.kiufupi mm nauza mayai ya kuchemsha kama ambavyo wewe wataka,nauza trei 6 kila siku na zinaisha sema nina madogo wanauza.ila ukiweka aibu pembeni...
  11. Chinsali

    Godoro gani la quality ya juu kuepusha maumivu ya mgongo?

    Kama ni mgongo chukua orthopedic ya qfl au epidic ya tanfoam arusha.
  12. Chinsali

    Lebanon ni nchi ya Kikristo; inapigwa na Israel halafu walokole mnashangilia

    Soma vizuri hakuna sehemu aliyosema Hezbollah ni wakristo.
Back
Top Bottom